The intelligence battle soft vs hard power

The intelligence battle soft vs hard power

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
888
Reaction score
1,486
The intelligence battle soft(see👁️ A vs hard power(kilo 1024mega bytes).

Mambo mengi muda mchache na-jumpstart to the conclusion, then tukipata wasaa tutarudi; intro, na dhima ya POWER.



HITIMISHO
Yote ya yote kilichotokea wakati wa uchaguzi ni vitendo ambavyo havikubariki katika jamii na alieamua na kuamuru taratibu zilizotumika pia hakubariki katika jamii... Hii ni kwa level ya kiraia na kitaifa... Ila linapokuja swala la maslahi mapana ya nchi(zingatia neno maslahi mapana ya nchi)


Ila katika level za ki-elite(international geopolitics point of view). Ni hatua mkakati makini katika ku-secure power, during power struggle endapo tu utajua nini unakipambania... (Hapa ndio utasikia kwa maslahi mapana ya taifa) haya maslahi yakiguswa.

Ndio utakuta watu wanapotea, wanatoweka haitajalisha wewe ni nani na unahadhi gani kama umeona kama ni kikwazo/tatizo kwenye hayo maslahi lazima ushughulikiwe labda usigundulike. USA wanasema kama itatakiwa dunia iangamizwe kwa masya marekani
Basi hawana budi kufanya hivyo
.

Katika power struggle not always zinatumika njia zinazozingatia sheria, haki na ubinadamu, bali hata mbinu zingine hutumika kimkakati, na wakati zinatumika unahitajika umakini wa hari ya juu kuhakikisha hauachi nyayo/alama zako njia unayopita... Kwahiyo misimbo inatumika sana... iba lakini usikamatwe, Hapo ndio unagundua note ina pande tatu na sio mbili tena,(BANKNOTE)

Yaani katika level hii ya ma- elite(wee raia wa kawaida ukiingilia hii battle unaweza ukajikuta uko upande wa adui kama haitoshi unashilikiana na adui yako kujiangamiza wewe mwenyewe) mfano: kindaki ndaki wewe ni shabiki wa Simba ukiingia kichwa kichwa kwenye hii Derby utajikuta unashangilia kwa furaha zote pindi Yanga inavyomshushia mvua ya magoli 🖐️ Simba, utakumbuka net ukiwa katika dozi ya mseto.

Watu wengi kupitia haya matukio ni tumeingia kwenye mfumo ulioandaliwa kimkakati watu wamecheza na human psychology, wemetujeruhi kihisia harafu wanakua wanatutonesha hisia... Yaani hio hasira uliyonayo juu ya vyombo vya dola na serikali ni umepandikiziwa makusudi na waliolengwa(gvt) wanajitahidi kuto chomoa betri.

Kwa matukio yanayoendelea bila shaka ni mambo ya wakubwa na masrahi yao, na sisi raia kama watoto tukipata wadogo zetu tusitegemee majibu sahihi pindi tuulizapo eti Mama huyo mtoto umemtoa wapi!?

Mnaweza mkawa mmepata ajari mbaya na pengine sekunde chache baadae gari inaripuka wakati mzazi akipambana kijiokoa pale,! katika kurupshani za hapa na pale unakuta mtoto aliembeba mgongoni analilia pipi iliyosahaulika ndani ya gari.

Kiufupi speech ya kwanza ulikua ni ujumbe kwa ma-elite wenzao na ilitakiwa uende ukiwa na ujumbe mchungu(banknote), ila kwakua raia hatukuutambua msimbo huo na tunatumia hisia zilizojeruhiwa badala ya logic tukatoneshwa kihisia tukalipuka(hiki kitendo ni sawa sawa na kuwashangilia wapinzani) kwahiyo speech ili-back-fire na hii reaction ilitarajiwa na Master planners wa upinzani.

Speech ya pili ile ilikua ni kwaajili yetu sisi raia kwa level za kitaifa, tatizo waandaaji wa speech walikua wanawahi wapi sijui...wenzetu kina benjamax stickcat wakiwa 7Oct ukizipitia zile speech utafikili zimeshushwa na Arch angel.

Hii ni moja kwamba kuna pande mbili sisi tunapambana kubaki kule tuliko licha ya kuwa upande wa pili wanataka tuwe kwao...25%

Mbili kuna uwezekano kuna baadhi ya wezetu (G-officials)wanataka kuhamia upande wa pili hivyo wanashiriki kotekote na wamewezeshwa kimbinu kuhakikisha wanadhoofisha mfumo hadi usifae kiuweledi wanakata tawi walilokalia au wanatoboa mtubwi walioupanda ndani yake napindi jahazi linapozama wao wanakuja na back up plan yao. Double Agent... 50%

Tatu huenda kuna mpango wakupiga services MTAMBO/gari masuala ya ku-change oils Grease, brand new shockups,air & oil filter so on... So before that, inorder a boss to fund those maintenances dereva ni lazima a-make sure that, the car must real look in a bad condition... Ili pindi chombo kikisha karabatiwa kuonekana kweli kuna utofauti na kazi imefanyika haswa. Creates problem sell the solution...25%
 
INTRO...

‎1..Overt operation: Oparesheni ya wazi, inamaanisha kufanywa kwa uwazi. Kitu chochote ambacho ni dhahiri kabisa kinachofanywa kwa ujasiri mbele ya macho bila kuficha au kuzuga ni operesheni ya wazi. ni wazi na inayoonekana, dhahiri, si siri au iliyofichwa.

‎Mfadhili wa misheni anakuwa anajulikana na matokeo yake yanaonekana.
‎Mfano: Operation ya Urusi nchini Ukraine, Israel kule Gaza nk; pia,

‎Operation komboa familia.


‎2..Covert operation: Operesheni za siri hazionekani wazi, hazionekani kwa urahisi zinapofanyika. Operesheni ya siri inafanywa kwa ujanja.
‎Katika hizi oparesheni mfadhili hajulikani mpaka misheni ikamilike ndio anajulikana na matokeo yanapatikana.

‎Mfano; Kuuwawa kwa Osama; pia
‎kutongoza na baadae kuwa katika mahusioano(ndoa).

‎Kuiba/Wizi na ujambazi... Ni covert operation.


‎3..Clandestine: Operation za siri zaidi, inapita siri katika usiri, top-secret. kwa sababu shughuli za oparesheni hizi mara nyingi ni haramu au zisizo za kimaadili zinazofanywa kwa sababu maalum. Mara nyingi, oparesheni hizi zinahusisha mashirika ya ujasusi na upelelezi. Hadaa/Uongo wa mara kwa mara unatumika sana.

‎Oparesheni hizi sio lazima zihusishe hazihitaji kuwa shughuli zinazotegemea vurugu ya moja kwa moja/uharibifu. Oparesheni hizi zinaweza kuwa vita vya Taarifa muhimu (information warfare) kwa lengo la muda mrefu. Inaweza kuwa kuweka habari mbali na watu. Mfadhili wala matokeo hayajulikani.

‎Mfano; MK-ultra, pia
‎Kuwa na mchepuko ni oparesheni au misheni ya siri sana.


‎Nguvu ni nini? Kimsingi, nguvu ni uwezo wa kuathiri wengine ili kupata matokeo tunayotaka. Kwa kawaida, taifa litajihusisha na aina mbili za nguvu, ili kuonyesha msimamo na mamlaka yake kwa dunia.

‎Moja ni Nguvu Laini, na nyingine ni Nguvu Ngumu.

‎Ya kwanza, Nguvu Laini, inahusu kushawishi na kuvutia mataifa mengine (na watu wao) kupitia hatua laini, kama vile tamaduni, maadili yake ya kisiasa na sera zake za kidiplomasia. Marekani ni mfano mzuri wa hili. Kupitia, taasisi/mashariki ya afya,elimu habari, burudani na hata dini. Kuweni makini na NGO's

‎Nguvu ngumu, kwa upande mwingine, inawakirisha vitu vigumu. Kama vile matumizi ya jeshi, vikosi, na mashinikizo katika kushawishi. Urusi na China ni mfano mazuri. Kupitia kutoa msaada kwa majeshi na vifaa vyake. kupindua nchi, China kusaidia kujenga miundombinu ya reli Balabala nk.

‎Na mchanganyiko wa aina zote mbili za nguvu ili kufikia matokeo yanayotarajiwa kwa ufanisi inaitwa Nguvu Mahiri.(Smart power). Hapa tunaona USA huwa anachapa miguu yote Africa(soft power) wakati kule middle east (Hard power).



‎Human manipulation; loading...

‎(psycho+tech+IT+Biotech+Chemi+Climato) Hapa watu wanaonyesha umahili wao katika fani ukiwa huna shule kichwani utaishia kusema uchawi,mapepo,mara freemason,shetani na Mungu katulaani vitu kama hivyo...
 
😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20251130-165739.jpg
    Screenshot_20251130-165739.jpg
    62.6 KB · Views: 15
VITA VYA KISAIKOLOJIA (Psywarfare) ni matumizi ya mbinu za kisaikolojia ili kuathiri mitazamo, hisia, maamuzi na tabia za mtu mmoja, makundi ya watu, au jamii nzima—mara nyingi katika mazingira ya kijeshi, kisiasa, au ya kimkakati.


‎Vita vya kisaikolojia hujumuisha mbinu zisizo za nguvu za mwili zenye lengo la:

‎Kudhoofisha morali ya adui

‎Kusambaza mkanganyiko

‎Kuathiri maoni ya umma

‎Kuhamasisha kujisalimisha au utii

‎Kudhibiti mtiririko wa taarifa au simulizi



‎Hii ni mifano inayojulikana inayotumiwa na serikali na majeshi:

‎Propaganda: Mabango, vijikaratasi, matangazo ya redio, upotoshaji

‎Kampeni za uvumi: Kusambaza taarifa za kupotosha ili kumchanganya adui

‎Kutisha: Kuonyesha nguvu kubwa ili kushusha morali, hapa utaona polisi wanafanya maandamono mtaani huku wakiwa na siraha nzito.

‎Shambulio la taarifa mtandaoni: Kudhibiti simulizi katika mitandao ya kijamii

‎Ujumbe wa kitamaduni au kiitikadi: Kuonyesha mapungufu ya uongozi au mfumo wa adui, udini, ukanda etc


‎“Brainwashing” ni neno linalotumiwa kuelezea mchakato unaotumia muda mrefu wa kumlazimisha mtu pasipo yeye kujua kinachoendelea abadili imani, tabia, au maamuzi yake kupitia shinikizo kali la kisaikolojia, kijamii au kimazingira.

‎Mara nyingi neno hili hutumiwa zaidi katika fasihi au mazungumzo ya kawaida kuliko katika sayansi halisi ya saikolojia.


‎Maana ya Brainwashing

‎Brainwashing ni mchakato unaodaiwa kutumia:

‎Udhibiti mkali wa mazingira

‎Kutengwa na jamii

‎Shinikizo la kihisia au kimwili

‎Upotoshaji wa taarifa

‎Kunyimwa usingizi au uhuru


‎Lengo lake huwa ni kumfanya mtu apoteze uhuru wa kufikiria na kurudia imani au matendo yaliyoingizwa na kundi au mtu fulani.

Ukishakuwa mpweke na huna uhuru kwa kipindi kerefu kidogo basi utaamini na kupokea chochote utakachoaminishwa, hio ni saikolojia ya Binadamu ilivyo mfano kina; lisu, mbowe, niffer, chavala wakitoka kifungoni usishangae wakitoka na mtizamo mpya juu ya kile walichokuwa wanakipigania.(Wameramba asali)

Katika vita/mapambano ya kisaikolojia adui yenu anaweza akawafitinisha mkaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe.
 
WAHASI NA MAGAIDI HAWAZUKI TU BALI WANATEGENEZWA KWA KUCHEZEWA AKILI (KISAIKOLOJIA).

Na katika vita vya kisaikolojia Huko ndio magaidi na waasi huwa wanatengenezwa kisaikolojia.

Mwanasaikolojia mahili na mwenye weledi mahsusi akimtizama mwanadamu sio kwamba atamuona yupo uchi bali atamchambua Binadamu huyo kama amepasuliwa anamuona kila kitu mithili ya technician anavyoliona gari.

Yaani kama ilivyo kwa matechnician wanloivyobobea kwenye magari, ndio hivyo hivyo kuna wataalamu wa saikolojia akimtizama mtu ashammaliza kila kitu.


Kisaikolojia Binadamu ukimfanyia unyama/ukatili anakasirika sana na hilo jambo litamsononesha moyoni ataishinalo...

Anaweza akalipa kisasi ila kama umemzidi nguvu ataishia kusononeka, Sasa hali kama hii inaweza ikatokea bahati mbaya au Adui yako akakutengenezea ajari ili uwaumize ndugu zako, au raia wako mathalani uliwaulia wapendwa wao i.e watoto wao, rafiki zao, wazazi wao, kiongozi wao au wapenzi wao, hata kuteka watu, na wale watu wakatafuta msaada wakakosa watabakia na dukuduku/jeraha mioyoni mwao.. watakuwa wamejawa na huzuni kuu na hakuna tumaini lolote juu ya ukatili waliofanyiwa (kitaalamu wanakua kwenye survival mode (na wako tayari kwa lolote (hawaogopi tena(liwalo na liwe)))) ogopa sana tena sana mtu akishafikia hari hiyo, ni hatari yaani danger.

Sasa mtu akishafikia hari hiyo arafu akasikia kuna watu wanataka kuwasaidia kupata haki zao au kuna kundi limeibuka linataka kiripiza kisasi kwa madhira yaliyowakuta, kwa hasira mtu huyo huwa ajiulizi marambili ni anaungana nao mara moja na ataonyesha support kulingana na uwezo wake... Aidha achangie pesa, vyakula au ajitoe mwenyewe kwenda kupambana...

Sasa kwakua mkakati huo unakua umesukwa na adui anayejua nini anakifanya na nini anakitaka... Ataoganaizi ngazi za uongozi na atahakikisha atatoa mahitaji yote wanayoyahitaji wale wahanga waliodhurumiwa haki zao(bunduki, mabomu, usafili, mafunzo etc) na hadi wakati huo wanaamini wanaenda kupigania haki zao na kulipiza kisasi kwa wapendwa wao waliowapoteza... Watafanya mafunzo au mazoezi ya kimedani kwa morale ya Hali ya juu sana... Na sababu ya kufanya hivyo wanayo na wanahasira sana na serikali au waliowadhurumu haki yao... Wasijue kuwa mpango huo ulipangwa kabla hawajakosana na serikali Yao na ukatekelezwa kimkakati na ukakamilika na sasa pasipo wao kujua kuwa wamekuwa waasi rasmi wanaopambana na serikali yao kwa masrahi mapana ya maadui wa Nchi yao.

Na hivyo ndivyo ugaidi au/na uhasi unavyoanzaga.

Sasa sinario hiyo ni kwa nchi yenye umoja watu wake hawana tofauti za kidini, siasa, kikanda etc...

Sasa vuta picha mpasuko ukaanzia kwenye dini "Kwamba tumenyanyaswa hivi au tumeuwawa hivi kwasababu sisi ni wakristo, au uongozi huu unakosolewa kwasababu kiongozi Mkuu ni muislamu kwamaana hiyo watu fulani hawataki uislamu nchini, sasa na sisi hatukubali lazima kieleweke...

Sasa bora wangekuwa ni maamuzi yao... Lah hasha! Kumbe sio!? nyuma yao kunawatu tofauti wenye ajenda tofauti kabisa na walalamikaji na hao ndio wanaopika sumu na kuwachochea waelekee wanakotaka wao...
Baada ya muda utasikia nchi imechafuka amani imetoweka.
 
DUNIA ILIPOFIKIA HII LEO NI HATARI TUPU: NA HILI NINGEPENDELEA SERIKALI ICHUNGUZE JE HAKUNA VIFAA VYA AINA HII NCHINI.

Kuna teknolojia inayoweza kumdukua mtu watu au kundi fulani la watu wirelessly(remote controlled) wakafanya mambo(maamuzi, vitendo, moodi, kinyume na utashi/ufahamu wao na wakajua mambo nje ya uwezo wao.

Kifaa hicho kinafanya mawasiliano na ubongo moja kwa moja na kuathiri mawazo fikra hisia na mood ya mtu kuhusu jambo fulani... Hapa sio uchawi wala freemason au shetani sijui mara Mungu au roho mtakatiifu.

Kama ilivyo kwa minara ya radio au simu inavyorusha mawimbi ya sauti au mitandao mawimbi hayaonekani lakini matokeo tunayapata ukiwa unatuni radio, stesheni ikishika inamaana radio imedakoa mawimbi ya masafa flani (frequency) na yale mawimbi hayaonekani lakini yanabadikishwa kuwa sauti(muziki (ndombolo ya Solo)) na ukiyasikia gafla moodi inabadilika unaanza kunengua pale...

Sasa vipi tukisema vipo vifaa vinavyotoa mawimbi yenye masafa flani kwaajili ya Binadamu na pindi Binadamu akiyanasa yataonekana ni kama sehemu ya mawazo yake, na Kama hivyo vitu havijui au havijatokea bado basi akija kuviona au vikatokea baadae je itahisi ni coincidence tu au Hapa ndio tunakutana na baadhi ya watu wa kiroho... Na roho mtakatiifu (note-sijathibitisha hili ni mawazo yangu tu, huenda ikawa sivyo).

Sasa fikiria je? Kwenye mitambo (studio) ya aina hii kwa ajili ya receiver za ubongo wa Binadamu na sio receiver za radio... DJ akipiga au akaachia kibao cha machafuko na vurugu nini kitatokea katika eneo ambalo mawimbi ya kifaa hicho yanashika vizuri...

Itakua ni shiida, na usishangae ukimkuta mtu asiyefanania kabisa na vurugu/gasia au maandamono yeye ndio kinara na muongoza vurugu...

Sinauhakika lakini hata wewe unavyowajua ulitarajia kweli watanzania kukinukisha kama walivyokinukisha siku ile... Hata watu wausalama hawakutarajia Hali ile na walishangaa...

Sasa pengine nina mawazo ya fantasy, Lakini nashauli kuelekea tarehe 9 vyombo vijiridhishe hasa mijini katika majengo marefu angani, drone, ndege, meli bandalini na hata hii minara ya mawasiliano hakuna vitu/mitambo kama hiyo kweli.

Kuna kila dalili tunaandaliwa vita, machafuko ya wenyewe kwa wenyewe wakishilikiana na baadhi ya viongozi wetu humu humu nchini.
 
DUNIA ILIPOFIKIA HII LEO NI HATARI TUPU: NA HILI NINGEPENDELEA SERIKALI ICHUNGUZE JE HAKUNA VIFAA VYA AINA HII NCHINI.

Kuna teknolojia inayoweza kumdukua mtu watu au kundi fulani la watu wirelessly(remote controlled) wakafanya mambo(maamuzi, vitendo, moodi, kinyume na utashi/ufahamu wao na wakajua mambo nje ya uwezo wao.

Kifaa hicho kinafanya mawasiliano na ubongo moja kwa moja na kuathiri mawazo fikra hisia na mood ya mtu kuhusu jambo fulani... Hapa sio uchawi wala freemason au shetani sijui mara Mungu au roho mtakatiifu.

Kama ilivyo kwa minara ya radio au simu inavyorusha mawimbi ya sauti au mitandao mawimbi hayaonekani lakini matokeo tunayapata ukiwa unatuni radio, stesheni ikishika inamaana radio imedakoa mawimbi ya masafa flani (frequency) na yale mawimbi hayaonekani lakini yanabadikishwa kuwa sauti(muziki (ndombolo ya Solo)) na ukiyasikia gafla moodi inabadilika unaanza kunengua pale...

Sasa vipi tukisema vipo vifaa vinavyotoa mawimbi yenye masafa flani kwaajili ya Binadamu na pindi Binadamu akiyanasa yataonekana ni kama sehemu ya mawazo yake, na Kama hivyo vitu havijui au havijatokea bado basi akija kuviona au vikatokea baadae je itahisi ni coincidence tu au Hapa ndio tunakutana na baadhi ya watu wa kiroho... Na roho mtakatiifu (note-sijathibitisha hili ni mawazo yangu tu, huenda ikawa sivyo).

Sasa fikiria je? Kwenye mitambo (studio) ya aina hii kwa ajili ya receiver za ubongo wa Binadamu na sio receiver za radio... DJ akipiga au akaachia kibao cha machafuko na vurugu nini kitatokea katika eneo ambalo mawimbi ya kifaa hicho yanashika vizuri...

Itakua ni shiida, na usishangae ukimkuta mtu asiyefanania kabisa na vurugu/gasia au maandamono yeye ndio kinara na muongoza vurugu...

Sinauhakika lakini hata wewe unavyowajua ulitarajia kweli watanzania kukinukisha kama walivyokinukisha siku ile... Hata watu wausalama hawakutarajia Hali ile na walishangaa...

Sasa pengine nina mawazo ya fantasy, Lakini nashauli kuelekea tarehe 9 vyombo vijiridhishe hasa mijini katika majengo marefu angani, drone, ndege, meli bandalini na hata hii minara ya mawasiliano hakuna vitu/mitambo kama hiyo kweli.

Kuna kila dalili tunaandaliwa vita, machafuko ya wenyewe kwa wenyewe wakishilikiana na baadhi ya viongozi wetu humu humu nchini.
The Copenhagen Test
 
The Copenhagen Test
Picha linaanza Jamaa anashtuka na haamini anapoambiwa ni mhaini na kupitia yeye maadui wanapata access ya taarifa za kitengo chao.

Nikipata muda nitaicheki nahakikishe kunauhalisia au fantasy kwa wingi...
 
Back
Top Bottom