Mkuu una haiba ya mtu ambaye ni self centered.tunaambiwa kuwa hao panya road ni kuanzia miaka 14 - 23. si walipaswa kuwa shule hao? wanastrago kwa lipi? wako wazazi masikini na wamemudu kujikongoja kusomesha watoto wao hadi wakafanikiwa. mitoto mingine minunda tu. peer pressure imewafikisha huko. na bahati mbaya biblia imethibitisha kuwa the have nots are here to stay. epa na richmond na escrow Visiwe vigezo vya kuendekeza hilo gepu. panya rod si kgezo sahihi cha kufanyia analysis yako ndugu mleta mada
Juu ya hawa Panya things, sijamsikia mama Kabaka akisema lolote, ajira ya vijana iko katika portfolio yake.Lowasssaaaa---Bomu linalosubiri kulipuka
Alisema hili
Mama Gaudencia kabaka kaitisha hadi Press kumponda
society imewasqueez vipi kuwa hapo? Nijengee hoja kwanza. Pili ilisema kuwa hao panya road walistahili kuwa mashuleni, so sio base nzuri kuwapigia mfano wa class struggle. They are not matured. And according to you they will never be sophisticated. Sophistication iko Mafia na ishu kama epa na escrow. Kwa hawa watoto ni ishu ya intelijensia kuamua tu. Ni watoto wadogo ambao malezi yao yaliharibika kutokana na peer pressure. Kama hukunielewa ni kufuata mkumbo. Na kwa Tanzania hatuna hiyo inequality unayotaka kuionyesha hapa. It is all about each according to his produce, not his needs. We are not talking about unemployed benefits here. BAdo fursa zipo na panya road kama wameona hiyo nifursa, its ok. Class struggle is about maturity.Mkuu una haiba ya mtu ambaye ni self centered.
Aina ya mtu ambaye atasema " I dont care watu wanakufa kwa njaa, mimi na familia yangu hatuna shida hiyo"
Watu wa aina hii wako wengi tu humu nchini, na pengine wanafikiri hili tatizo la Panya Road ni tatizo lisilo wahusu.
Ni mpaka pale watakapoona hao Panya Road wameanza kuwa sophisticated katika aina ya uhalifu wao ndio wataona kuwa hawako kwenye nyumba imara sana.
Kusema "mitoto mingine ni minunda tu" ni kumiss outright the point in realising the inequalities in our society.
Hao unaowaita manunda hawakuzaliwa kuwa pale, the society has squeezed them into that position.
Na ndio hizo classes zinazozidi kujientrench.
Hili ni somo kubwa sana kwetu na kama nilivyosema awali, hata tukiwa na Kova wawe kumi hawatweza kulitatua tatizo hili.
Kinachotakiwa ni hatua mahsusi za kupunguza income gap kati ya the have and have nots ili wote wafaidike na uchumi unaoiendesha jamii.
Du!society imewasqueez vipi kuwa hapo? Nijengee hoja kwanza. Pili ilisema kuwa hao panya road walistahili kuwa mashuleni, so sio base nzuri kuwapigia mfano wa class struggle. They are not matured. And according to you they will never be sophisticated. Sophistication iko Mafia na ishu kama epa na escrow. Kwa hawa watoto ni ishu ya intelijensia kuamua tu. Ni watoto wadogo ambao malezi yao yaliharibika kutokana na peer pressure. Kama hukunielewa ni kufuata mkumbo. Na kwa Tanzania hatuna hiyo inequality unayotaka kuionyesha hapa. It is all about each according to his produce, not his needs. We are not talking about unemployed benefits here. BAdo fursa zipo na panya road kama wameona hiyo nifursa, its ok. Class struggle is about maturity.
NA unapunguzaje gap ya income btn the two? Toa maelezo...
Hata hapa kwangu napoishi, muda mfupi uliopita tulikuwa tunazungumzia swala hili na mwanamama mmoja na nikamueleza chanzo kimojawapo cha matukio kama haya ni watu kukosa ajira na kukata tama.
Bahati mbaya sana,kama ilivyo kwa wana-CCM wengi,mama huyu alipinga hoja yangu na kutoa sababu zake kama vijana kuvuta bangi n.k.
Huyu mama angekuwa na akili angejiuiliza kwanza ni kwanini vijana hawa wavute bangi n.k.
Najua kuna wengine hata akiwa na maisha mazuri kuvuta bangi na mambo ya aina hiyo ndio hulka yake.Lakini je,wote hawa kwa makumi au mamia wanafanya vitendo kama hivi kutokana na hulka zao tu?
Polisi kama wana akili,vijana waliowakamata wawahoji kistaarabu ili wawape sababu za wao kufanya walioyafanya na taarifa wazipeleke serikalini kwa utatuzi kama tunataka haya yasijirudie tena.Tofauti na hapo ni kujidanganya tu.
In short,civil disobedience in our country is around the corner.
Aheri mie mwanawane, nilisema huko nyuma.Du!
Young man you are so naive!
It might take a series of lectures to bring you to the same thinking plane.
Kwa inavyoelekea you do not have the slighest idea on social class struggles and interactions.
Jaribu kujisaidia kugoogle hizo topics ambazo ziko very wide and in times particular.
Kama hujawahi kuzipitia hizo studies its a waste of time to argue.
Class Struggle: Classes emerge only at a certain stage in the development of the productive forces and the social division of labour, when there exists a social surplus of production, which makes it possible for one class to benefit by the expropriation of another. The conflict between classes there begins, founded in the division of the social surplus, and constitutes the fundamental antagonism in all class. As capitalism was just beginning to create itself, Karl Marx and Fredrick Engels explained the processes they had witnessed:Du!
Young man you are so naive!
It might take a series of lectures to bring you to the same thinking plane.
Kwa inavyoelekea you do not have the slighest idea on social class struggles and interactions.
Jaribu kujisaidia kugoogle hizo topics ambazo ziko very wide and in times particular.
Kama hujawahi kuzipitia hizo studies its a waste of time to argue.
Sasa hoja zako humu ni zipi? Naona bora ungetulia na kusoma tu kuliko kuwasumbua kina invisible kurekebisha server kila wakatiAheri mie mwanawane, nilisema huko nyuma.
Madudu haya yako juu ya uwezo wa wengi!
Tofauti ya kipato kati ya wakubwa walionacho, na wadogo walalahoi inaendelea kukua, tena kwa kasi.
Itafika mahala masikini hataona dhambi kumnyang'anya tajiri, kama uwezo huo anao.
Na ndio Panya Road.
Very Good!Class Struggle: Classes emerge only at a certain stage in the development of the productive forces and the social division of labour, when there exists a social surplus of production, which makes it possible for one class to benefit by the expropriation of another. The conflict between classes there begins, founded in the division of the social surplus, and constitutes the fundamental antagonism in all class. As capitalism was just beginning to create itself, Karl Marx and Fredrick Engels explained the processes they had witnessed:
Mmebadili heading? I thought our base was panya road. Naona tunahama taratibu. Sina shida na uwanda wa class struggle ila kuwatumia panya road ndio ilikuwa ugomvi wangu. Ukiniambia kuhusu wakulima na wafanyakazi nitakuelewa lakini si wahalifu. Hakuna class ya wahalifu inayotambuliwa popote katika mazingira rasmi. Uhalifu ni uhalifu na wala si class struggle.
Na hujanijibu. Unapunguzaje pengo la kipato kati ya hizi class (si panya road)? Dont be pathetic and try to empathise with my personality and understanding. Just be objective to the topic
Du!
Young man you are so naive!
It might take a series of lectures to bring you to the same thinking plane.
Kwa inavyoelekea you do not have the slighest idea on social class struggles and interactions.
Jaribu kujisaidia kugoogle hizo topics ambazo ziko very wide and in times particular.
Kama hujawahi kuzipitia hizo studies its a waste of time to argue.
Class Struggle: Classes emerge only at a certain stage in the development of the productive forces and the social division of labour, when there exists a social surplus of production, which makes it possible for one class to benefit by the expropriation of another. The conflict between classes there begins, founded in the division of the social surplus, and constitutes the fundamental antagonism in all class. As capitalism was just beginning to create itself, Karl Marx and Fredrick Engels explained the processes they had witnessed:
Mmebadili heading? I thought our base was panya road. Naona tunahama taratibu. Sina shida na uwanda wa class struggle ila kuwatumia panya road ndio ilikuwa ugomvi wangu. Ukiniambia kuhusu wakulima na wafanyakazi nitakuelewa lakini si wahalifu. Hakuna class ya wahalifu inayotambuliwa popote katika mazingira rasmi. Uhalifu ni uhalifu na wala si class struggle.
Na hujanijibu. Unapunguzaje pengo la kipato kati ya hizi class (si panya road)? Dont be pathetic and try to empathise with my personality and understanding. Just be objective to the topic
Mkulima na mfanyakazi wamebeba kila daraja wewe. AU unadhani mjasiriamali ana class yake? AU unataka kumzungumzia mfanya biashara? Unasikia wewe? Mkulima anaweza kuwa bourgeoies, sawa? HAta mfanyakazi pia. Suala hapa ni kumiliki rasilimali. Au unadhani kuna class ya wanasiasa? Pia si lazima niamini katika hayo ya google maana wameandika watu kama mimi, na wapo waliokinzana na fikra zao na kuja na mitazamo mingine. So tegemea pia akili yako kulingana na mazingira yako na si akili za kushikiliwa na google, sawa?Tatizo umekariri kua class struggle ni wakulima na wafanyakazi tu.... Umeshauriwa u-google, nashangaa hadi muda huu bado na unaendelea kubishana na wasomi!
Mkuu jitahidi kujielimishazaidi katika hizi theories ambazo zimeanza kujikita katika jamii za kitanzania.Mkulima na mfanyakazi wamebeba kila daraja wewe. AU unadhani mjasiriamali ana class yake? AU unataka kumzungumzia mfanya biashara? Unasikia wewe? Mkulima anaweza kuwa bourgeoies, sawa? HAta mfanyakazi pia. Suala hapa ni kumiliki rasilimali. Au unadhani kuna class ya wanasiasa? Pia si lazima niamini katika hayo ya google maana wameandika watu kama mimi, na wapo waliokinzana na fikra zao na kuja na mitazamo mingine. So tegemea pia akili yako kulingana na mazingira yako na si akili za kushikiliwa na google, sawa?
Basi hizi theory zina limitations kweli. Nikiwa na heka 500 nalima mananasi na mahindi nasafirisha kuleta sokoni, nimeajiri vibarua naingia kundi gani? Pengine sielewei kweli ila haininyimi fursa ya kukinzana na hizo nadharia.Mkuu jitahidi kujielimishazaidi katika hizi theories ambazo zimeanza kujikita katika jamii za kitanzania.
Unayoongelea hapa kwa kweli hayana mantiki sana kulingana na hizi set theories ambazo zimekuwa proven in practice.
Maana ya kuzielewa theories hizo ni kwa minajili ya kuboresha kiuchumi umiliki wa rasilmali za nchi kwa maana ya kupunguza pengo la kipato kati ya walio nacho na wasionacho(reducing the income gap between the haves and the have nots).
Kuna njia nyingi tu za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kodi kwa wenye kipato cha juu, ili kufidia pato la walio na kipato kidogo(kama Sweden).
Lakini kwa uhakika tukiendelea hivi ni lazima Panya Road wataongezeka nchini.
Hapo kwenye red, nime highlight vitu ambavyo vinaashiria kutoelewa vema kwa upande wako kitu kinachoongelewa. Nilichohighlight is a practical impossibility.
Mkulima (kwa maana ya peasant) au mfanya kazi hawezi kuwa bourgeoise kwa maana ya mmiliki wa forces of production, maana hapo alipo tu yeye ni tool of production.
.poti kuna watu wagumu kuelewa,go onMkuu jitahidi kujielimishazaidi katika hizi theories ambazo zimeanza kujikita katika jamii za kitanzania.