Kiranga,Nilipata tabu mara moja niliposema Nyerere si Mtanzania wa kwanza kusoma Uingereza, Hamza Mwapachu alimtangulia. By the time Nyerere anaenda, Mwapachu alikuwa kasharudi Tanganyika. Na kwa kweli Nyerere alipewa barua za utambulisho na Mwapachu. Hii ni sababu moja iliyomfanya Nyerere kujiunga na Fabian society iliyomjenga zaidi katika imani yake ya Ujamaa.
Mzee Mwapachu alikuwa na sehemu kubwa katika kumuandalia Nyerere network ya marafiki Uingereza.
..is it true kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa akifundisha somo la biology?
Last edited by a moderator: