Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Wewe Bado una Windows 8 lakini haijatoka yenyewe Orignal? uliitumia hiyo Windows 95 ulikuwa una miaka mingapi?Mkuu.@C6windows ya kwanza kuitumia windows 95, by that time tayari nilikuwa nshaanza utundu wa kuchezea kompyuta, mpk leo nna windows8 bbado nimo tu
sikuanza kuitumia mwaka 95 nilitumia nikiwa na miaka kumi na kitu sikumbuki exactly but nilikuwa mdogo, uncle wangu alikuwa anapenda sana niwe mtaalamu wa haya madude yeye ndo alinipa pc yangu ya kwanza , pia alinipa vitabu nijifunze excel, word, publisher etc, wakati huo tulikuwa tunacheza game za super marioWewe Bado una Windows 8 lakini haijatoka yenyewe Orignal? uliitumia hiyo Windows 95 ulikuwa una miaka mingapi?Mkuu.@C6
sikuanza kuitumia mwaka 95 nilitumia nikiwa na miaka kumi na kitu sikumbuki exactly but nilikuwa mdogo, uncle wangu alikuwa anapenda sana niwe mtaalamu wa haya madude yeye ndo alinipa pc yangu ya kwanza , pia alinipa vitabu nijifunze excel, word, publisher etc, wakati huo tulikuwa tunacheza game za super mario
windows 8 consumer preview ndo natumia ila sasa ivi nadownload windows 8 rtm
Mwana nimekukubali nami nimeanza kuushusha sasa hivi...haa haa haaasikuanza kuitumia mwaka 95 nilitumia nikiwa na miaka kumi na kitu sikumbuki exactly but nilikuwa mdogo, uncle wangu alikuwa anapenda sana niwe mtaalamu wa haya madude yeye ndo alinipa pc yangu ya kwanza , pia alinipa vitabu nijifunze excel, word, publisher etc, wakati huo tulikuwa tunacheza game za super mario
windows 8 consumer preview ndo natumia ila sasa ivi nadownload windows 8 rtm