the haigue

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
what is it for? Does it for all world leaders or only african leaders? Explanation plz
 
Nikujibu Stevoh: The Hague ni mji ulioko Netherlands ambako ndiko makao makuu ya International Criminal Court (Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu). Ni kwa ajili ya ku-prosecute individuals who commit crimes against humanity, war crimes and genocide. sio kwa ajili ya african leaders per se imetokea tu kwamba viongozi wetu hawa ni perpetrators of such crimes ndo maana. hata wewe uki-commit crimes against humanity to a certain degree ambayo itakuwa established na whoever will be the prosecutor utafunguliwa mashtaka pale ICC na mwisho wa siku kama utakutwa na hatia utafungwa. Nadhani nimekujibu swali lako
 
And to shed more light, of recent kumekuwa na claim kwamba Rais Bush wa Marekani afunguliwe na yeye mashtaka pale ICC kwa sababu of what the US army did in Afganistan and Iraq. hizo claims zimeletwa na some sort of an organization ingawa ICC haija-issue arrest warranty kwa ajili ya Bush. maybe sometime in the future he might be prosecuted you can never know but thats how it works its for everybody
 
JS wamekwisha issue ndo waliwataka viongoz wa afrika wamkamate alivyokuja juz juz huku afrika na hakuna kiongoz hata mmoja aliyejitikisa kwa ajil hyo.
 
what is it for? Does it for all world leaders or only african leaders? Explanation plz

The haigue? ndo nini...au ni aina ya matikiti maji ?sijaelewa unataka kumaanisha nini..
 
And to shed more light, of recent kumekuwa na claim kwamba Rais Bush wa Marekani afunguliwe na yeye mashtaka pale ICC kwa sababu of what the US army did in Afganistan and Iraq. hizo claims zimeletwa na some sort of an organization ingawa ICC haija-issue arrest warranty kwa ajili ya Bush. maybe sometime in the future he might be prosecuted you can never know but thats how it works its for everybody

Mawaziri wakuu wa israel wameua sana watoto wa palestina mbona hawashtakiwi?
 
Tusidanganyane Wakuu. Mahakama ile iliyopo Holland ni kwa ajili ya Waafrika. Hao wengine ni geresha tu. Sie Waafrika si ndio Manyani, wao ndio binadamu. Hamjui hilo!!!
 
Tusidanganyane Wakuu. Mahakama ile iliyopo Holland ni kwa ajili ya Waafrika. Hao wengine ni geresha tu. Sie Waafrika si ndio Manyani, wao ndio binadamu. Hamjui hilo!!!

u may be right or wrong what is the truth?
 
what is it for? Does it for all world leaders or only african leaders? Explanation plz
Kaka hilo si kweli au umesahau akina Slobadan au nao ni weusi kwa ufupi viongozi wa kiafriika ni madikteta wa kutupwa wanauwa wananchi wao na kuna impunity katika viongozi wa kiafrika,kwa tabia walizonazo hawa viongozi wa kiafika za kulazimisha na kung'ang'ania madaraka hata wako tayari kuua raia wao kwa hila na ghiriba Hague itakuwa ndio mwisho wao,ebu angalia huyo Gagbo,Taylor, Bashir na hapo jirani yetu Kenya je unaona watu kama hao wanaonewa.
Hata hapa Tanzania tuna watu ambao wana dalili za udikteta na wanataka kwenda Ikulu kwa hali na mali ,sampuli za viongozi kama hao suluhisho lao huishia Hague.mimi nashukuru kuwepo hiyo mahakama kwani inawatisha hao viongozi uchwara wa nchi za kiafrika ambao wanaona URAISI NI HAKI YAO YA KUZALIWA
 
Back
Top Bottom