The gun that Adam Lanza allegedly used to do most of his shooting on Friday -- the .223 Bushmaster

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,784
2,000
65152_577512622264064_375442148_n.jpg

The gun that Adam Lanza allegedly used to do most of his shooting on Friday -- the .223 Bushmaster caliber rifle -- happens to be the same type that was used in the 2002 DC sniper shootings.

Do you think semi-automatic assault rifles like this one need more regulation?
 
Ruge Opinion

JF-Expert Member
Mar 22, 2006
1,837

Who are you asking? We don't have legalized craziness in Bongo. And we don't need it here. Even the Maasais should be disarmed. They should leave their simes and rungus back in their jungles.
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,400
2,000
Mbuzi Mzee mimi sioni haja ya wao kuwa na Guns regulations,waendelee hivyohivyo na maisha yao.Japo inauma kuona maisha ya watoto wadogo wasio na hatia walivyokatishwa uhai wao,laKini tukumbuke pia hao ni idadi ndogo sana kulinganisha na maelfu ya watoto wanawake na wanaume wanaouwawa kila kukicha kutokana na hayo Mabunduki yao.Kumbuka Kongo,Mexico,Afghanistan,Iraq.Palestina,South Sudan ,Northern Uganda,Syria na list ni ndefu kila siku tunashuhudia au tumeshuhudia vifo vya nafsi zisizo na hatia.Kwa tukio hili Americans wanatakiwa kufunguka macho na kuona madhara ambayo yanasababishwa na hizo silaha zao, na kama ni kubadilisha sheria za umiliki wa silaha basi na sheria za usambazwaji zibadilishwe ili kuhakikisha kuwa silaha zao haziangukii katika mikono ya wendawazimu.
 
Last edited by a moderator:

taamu

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,936

kaka mungu akubariki wewe na akili yako popote pale ulipo andiko lakolimeuburudisha moyo wangu na kuifanya asubuhi yangu iwe yenye furaha.wapo waafrika watasikitika sana maana wao huamini kwamba mzungu hatakiwi kufa.lakini mimi hufurahi sana kuona matukio kama haya ulaya maana wazungu wamesababisha na wanaendelea kusababisha matatizo na vifo vingi sana duniani.siku njema.
 
taamu

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,936
2,000
halafu paka mweusi vipi wahakikishe silaha zisiwafikie wendawazimu ikiwa tu kuzitengeneza ni sehemu ya uendawazimu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom