The Generalization, I hate.

The dirt paka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
371
66
Ndugu wanaJF tumekuwa tukiishi katika jamii tofautitofauti za KiTaNzania na kushuhudia mambo mengi mabaya na mazuri tukajitahidi kuyakemea yale mabaya kwamanufaa yakuwa na jamii yenye maadili.


Nami naandika uzi huu, eti wanawake wakichaga-wanapenda hela, wabahili, wauaji(wamachame), wakihaya-mal***, wauzaji, watanga-wanajua mapenzi, hawakai na mmoja,
wairinga-wavumilivu wachapa kazi, wanyamwezi-wajeuri, fitina, waswahili n.k, n.k.
Mimi tabia hii inanikera kummark mtu kwakabila lake program tasa. Tutazame watu kwaspecification, maana kila kabila inawasafi na wachafu na sio kupakaziana.
Ulimi ni kalamu ambayo huandika katika ubongo tuutumie vizuri katika globalised world.
 
Yamekukuta nini? POLEEE....
Wahenga walisema, "Lisemwalo lipo"..ooooops sor!
 
Huenda kuna ukweli katika yanayoongelewa lakini kwa kiasi kidogo..........
Nakubaliana na wewe kuwa ku-generalize sio vizuri....
 
Mkuu wahenga wanasema "mdomo unaumba", makabila yanahusika sana ktk kumshape mtu, so ni kweli kabisa km uaonavyo! Hebu zaa na mgogo km hujapata toto omba omba!
 
Hayo mambo ni basics, si lazima iwe kweli mana somtimes hua hata vice versa!
Maisha yamebadilika na makabila twajichanganya hivyo hata tabia na values
zimechakachuliwa saana. Naamini hapo kitambo ilikua rite maana kila jamii ina
ways za kuendesha mambo yao.. but siku hizi....
 
kwa siku za nyuma ilikuwa nearly right kugeneralize as makabila hayakuwa na mwingiliano mkubwa
ila kwa leo ni kosa kugeneralize

My take:Wewe unaumia kwa kipi hasa, generalization tasa? tu vipi generalizaton positive unaipendaaaaaaaaa..like Wambulu ndio wanawake wazuri zaidi Tz?
 
nakubaliana nawe, haifai ku-judge mtu kwa kabila......
lakini nachukia zaidi mtu anaposema wanawake wako hivi wako vile, wanawake hili wanawake lile, maana kama experience yako ni wanawake au wanaume wa aina fulani tu kila kukicha nadhani ni vyema kujitazama mwenyewe kwa nini ukutana/uanguke kimapenzi(mathalani) na watu wa aina hiyo tu....
 
Jamani issue sio kwanini ?
Issue ni kwamba unapoimark kabila ya mwenzio sifa nzuri/mbaya unawaandalia wahanga wakabila husika katika mambo yao mengi yakiwa yakijamii,
leo hii ukimwambia mtu mchumba wako ni muhaya anakushangaa utadhani umepotea njia.
Na kunawatu ukitaka kufanya nao kazi wanauliza kwanza kabila ukishamwambia utasikia tu "ndio maana, kumbe we muha" inakera unahisi kutengwa. So its not good hayo mambo yakale tuyapige vita tujue kila jamii inaweza na ubaya au uzuri ni sehemu tu ya nafsi ya mtu.
 
Kwa zamani ilikuwa kweli ila kwa sasa elimu imefanya watu wabadilike, so mtu anakuwa tofauti na tabia ya kabila lake
 
Elimu haikubadilishi bali inakucivilize on how to go with the social interaction.
Kuna mira,desturi na miiko inayobadilika na isiyobadilika.
Mfano vitu kama mazishi, ndoa, vyakula never change ukifariki lazma uzikwe, kuoa/kuolewa kupo palepale....ila mambo mengine hutokana na Geographical location hasa katika vitu kama chakula.
Lakini tabia ni hulka ya mtu pale anapochagua lifestyle sawaa!
 
Mkuu wahenga wanasema "mdomo unaumba", makabila yanahusika sana ktk kumshape mtu, so ni kweli kabisa km uaonavyo! Hebu zaa na mgogo km hujapata toto omba omba!

Mkuu we si useme unatafuta specimen ya prakitiko. :msela: :bangetu:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom