THe GanG StA LoVe

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
5,634
Reaction score
9,156
Ijumaa ya vurugu hii haijakaa sawa kutokana hizi mvua bado tunaendelea kula wife / husband za watu huku wenye mali wakiwa job kuchakarika kusaka chipsi za kila daily.

Anyway the topiki iz about a love... The gangsta love, siku hizi kuna ile manners ya wana ke na wana me kulialia mapenzi mara wameumizwa na kuachwa, hii ni mitindo tu ya kimaisha hubadilika pia, therefore hebu sote tujaribu kurudi old school love ni mapenzi mazuri na yananoga endapo mtaelewana, ila new skull luv...siyo nzuri ni kudanga, kula tigo, mizinga ni balaa tupu.

Gangsta luv inafanya muishi kimapenzi kwa uaminifu zaidi mfano, jay n bey walivyo / Kim n kanye wanaishi gangsta luv, unatakiwa mtreat demu / mchizi ki gangstaaa mwanzo mwisho na hakika atafurahia mapenzi matamu. ila asikutell no body mapenzi ya gangsta ni kudumu no cheatinn mathaphakka, no mizinga, no udangaji mxthaphakka, ni full kula raha ya mapenzi. Huo uchafu wote haupo. Na unadumu zaidi ya miaka 6.

Let us practice a strong love, a gangsta love in our love relationship mathaphakka.
 
Mimi nahisi nimekuelewa zaidi, yani kama BIG na Lil Kim vile mambo lazima yaende sawa tu
 
Mambo ya culture girl haya!!....Culture girl njoo huku uje kupractise gansta love![emoji30][emoji30][emoji30]
 
Ukinitxt night fresh ..usiponitxt pia bora..asbh kama kawa no complain...sijui oooh babe why jana ujanipgia wala txt au ulikuwa na demu..?
 
Umaskin tatizo unatupiga pin. Huku bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…