ricktz
Member
- Jun 25, 2016
- 20
- 11
Kutoka na taarifa zilizotolewa na tovuti maarufu nchini Marekani ya TMZ zinasema kuwa mzee huyo alikutwa amefariki ghafla na mmoja kati ya wanafamilia akiwa nyumbani kwake Apple Valley, Calif. Mwanafamilia huyo aliamua kuita majirani kisha kupiga simu polisi ambao walikuja kuuchukua mwili wa marehemu kuupeleka Hospitali kuuhifadhi. Mpaka sasa polisi hawajatoa sababu ambazo zimesababisha kifo cha mzee huyo.
Mahusiano ya The Game na Baba yake hayakuwa mazuri kwa muda mrefu kutokana na baba yake kumuacha The Game na mama yake akiwa na maiaka 7, kitu ambacho kilimpelekea mpaka Rapa huyo kuandika wimbo wa “Bloody Moon”.
.
Usiache kutembelea website yako pendwa ya [HASHTAG]#rickmediatz[/HASHTAG] kwa habari za [HASHTAG]#Burudani[/HASHTAG] kila siku.
WEKA COMMENT YA POLE HAPA CHINI