The fragile TISS

My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
3,032
Points
2,000
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
3,032 2,000
The seizure of our plane in South Africa by the court order has revealed the feebleness of TISS as an intelligence tool whose efficiency declines day to day.

I guess its feebleness has resulted from the general hiring system which mainly bases on political basis.

Members of UVCCM have been granted a grand priority into TISS ,such people ponder over the fate of their weak party and they lack knowledge of intelligence to serve their nation.

Their minds suffer licentiousness of the stability of their party and not the whole nation, having such service men in the intelligence tool which the nation relies upon, can't work out.

They ponder over flabbergasting opposition, it's a great astonishment that they failed to learn the matter that was taken in the court purposely to seize any Tanzania's belongings in exchange for the plaintiff's counts , until his counts are totally met otherwise.

If the TISS should have learnt this plot beforehand, our plane shouldn't have been seized,but all in all, the government should play role on what it does against its business partners.

The fragile TISS didn't reveal the worst plot against its nation .
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
63,848
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
63,848 2,000
Kumbe kwa sasa vijana wa UVCCM ndio wanaoendesha TISS ! hili ni janga kubwa sana ! hawa uwezo wao ni kung'oa mboga za Mbowe tu na kufuatilia maandamano labda na kushinda humu jf kufuatilia watoa maoni
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
3,032
Points
2,000
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
3,032 2,000
Kumbe kwa sasa vijana wa UVCCM ndio wanaoendesha TISS ! hili ni janga kubwa sana ! hawa uwezo wao ni kung'oa mboga za Mbowe tu na kufuatilia maandamano labda na kushinda humu jf kufuatilia watoa maoni
Kazi yao ni kufuatilia CHADEMA tu na kuhakikisha kuwa inakufa, Halafu wamejaa vilaza watupu, katili na mambumbumbu ya kutupwa... Wakishajua wewe ni mpinzani wa kweli hawawezi kukuajiri, yaani wanahatarisha usalama wa nchi kwa sababu za kichama
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
63,848
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
63,848 2,000
Kazi yao ni kufuatilia CHADEMA tu na kuhakikisha kuwa inakufa, Halafu wamejaa vilaza watupu, katili na mambumbumbu ya kutupwa... Wakishajua wewe ni mpinzani wa kweli hawawezi kukuajiri, yaani wanahatarisha usalama wa nchi kwa sababu za kichama
Sasa kwa mtindo huu ndege zitaacha kukamatwa ?
 
leroy

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
1,149
Points
2,000
leroy

leroy

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
1,149 2,000
Spot on.

What was the role of foreign intelligence in preventing this to happen?

Were they aware of this incidence?

This for sure paints negative image of dysfunctional foreign intelligence service.

Long way to go!
 
N

Nkanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
1,592
Points
2,000
N

Nkanini

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
1,592 2,000
I always salute the TISS under MAJ.GEN.KOMBE(REST IN PEACE).
 
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Messages
12,628
Points
2,000
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2014
12,628 2,000
Hamna sababu ya kuwalaumu hao TISS.

Deni ni deni tuu. Dawa kulipa

Sasa ulitaka ndege zisiende huko nje wakati in another side ndeege zetu kwenda nje ni proud ya mkulu?

Ile ya inayoenda india haija anza?? Mabeberu wasije ikamata na ile
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
63,848
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
63,848 2,000
Hamna sababu ya kuwalaumu hao TISS.

Deni ni deni tuu. Dawa kulipa

Sasa ulitaka ndege zisiende huko nje wakati in another side ndeege zetu kwenda nje ni proud ya mkulu?

Ile ya inayoenda india haija anza?? Mabeberu wasije ikamata na ile
Zingebaki kwanza kusomba nyama ya mbuzi ili kusubiri upepo utulie
 
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Messages
758
Points
1,000
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2018
758 1,000
Wawili nipo nao hapa nawatafsiria uzi huu kwa kiswahili.Wanatia huruma kweli na vichwa vyao kama punje za mchele!
My ribs 🤣🤣🤣🤣, kutojua kingereza sio kosa, kinachonishangaza ni kwamba kingereza is all over our education system, that being so haya majitu hayajasoma na kama yamesoma hayajaelimika wako very predictable, PUMBAVU KABISA
 
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Messages
758
Points
1,000
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2018
758 1,000
Kuna karesearch nliwah fanyaga nikagundua kuwa

1. Watu wote waliopo kwene position nyeti ni CCM, mfano wakuu wa vyuo karibu vyote, wakurugenz na vitu kama hivyo, ilhali hivi vyeo ni vya kitaaluma, swali la kujiuliza ina maana watu wa milengo mingine hawana hizo taaluma ?

2. Rafiki zangu karibia wote ambao walikuwa vilaza na failure wa mwisho kabisa kimbilio lao ni CCM, yan wote wako huko wanaimba mapambio ya kusifu na vitu kama hivyo.

MY CONCLUSION

CCM ni chaka la wajinga na wanaotaka urais wa maisha, nimegundua kutokana na system waloweka ni rahisi kwa wapumbavu kutoboa upande huo, Huwa nalaan sana hich kitendo

NB: Ngoja nideclare interest, mimi sina chama chochote na najua vyama vyote vinafanya upuuz ila wa ccm umezidi,
 
Poise

Poise

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
7,479
Points
2,000
Poise

Poise

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
7,479 2,000
Yote haya yalikuwa wazi , tatizo siyo TISS tatizo ni kutotubu dhambi.

Dhambi yenyewe ni 'Deni' hilo deni la huyo msauzi kibaraka wa mabeberu lilianza kulipwa. Swali ni Je, kwa nini ulipaji umesitishwa; kama alifanya mchongo akalipwa kwenye zile awamu zilizopita hii awamu itabidi tu ibebe mzigo huo hata kama pana madudu washa walihusika.

Btw, Mdaktari Har, alisema ; "ndege zikinunuliwa zitakamatwa zote" wanajua kuna tatizo/madeni ila hawalipi.

Mtu akiilamu TISS anakuwa haelewi kabisa kazi zake Mfano, unataka TISS ikachukue hela kwa nguvu (kutoka ofisi au taasisi ipi) ili ikalipie hayo madeni? TISS inawajulisha sasa mkishindwa kutendea kazi matokeo yake ndiyo hayo.

TISS kazi yao inaonekana na imetukuka kote duniani ; tatizo lipo kwa watoa maamuzi (sijui ni wanasiasa au ni wizara za fedha, uchukuzi, na ile ya uwekezaji na biashara)

TISS wanafanya kazi kwa ufanisi na kazi yao imetukuka kote duniani.

Kudos TISS.
 
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
13,120
Points
2,000
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined Oct 12, 2012
13,120 2,000
A Fish Rots From the Head

..
Leadership is the root cause of an organizations failure and demise. This is true whether that organization is a country, a company, or a sales force.

Hii niliwahi kukutana nayo mahali nilipokua nipo kwenye darasa la Rasi Simba.
 
demigod

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
5,124
Points
2,000
demigod

demigod

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
5,124 2,000
Hii ni mada fikinyu. Pesa za kulipa deni tukaenda kununua ndege ili chama chetu kipate utukufu wa ngazi ya juu. Sasa mkaburu ameamua kuitega dreanLiner akaiuze ili achukue chake.

Ataziteka ndege nyingine na kuzuiz mpaka deni lake limalizike.
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,870
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,870 2,000
Kuna siku niliona picha ya yule jamaa anaesimamaga nyuma ya rais jpm akiwa amevaa nguo za ccm kwenye kikao cha UVCCM.Nikiunganisha na uzi huu nagundua kitu hapa kuwa ili uingie TISS ni vizuri kujiunga na UVCCM wala sio kujiunga JKT.Nilikosea kwenda kujitolea jkt
 

Forum statistics

Threads 1,335,190
Members 512,261
Posts 32,498,495
Top