Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,613
- 107,046
post hii ilishakuwepo hapa, anyway, kwani wakimwalika lowasa wewe imani yako inadhurika na nini?? Just wewe amini katika kile unachokiamini na ukiona kuna mahara halipo sawa achana napo, na fuata yale unayoona yako sahihi, lowasa au pengo hatukupeleka mbinguni bali ni imani na matando yako
Basi aibukie Kilutheli kwake.Kwanza mgogoro aliouasisi wa Mwanga ameshaumaliza?Hii ishu ni ngumu, sidhani kama ni vibaya kwa EL kuibuka kanisani kujisafisha labda ndio anatubu hivyo makosa yake...!
Upendo.kazi ya mungu na kanisa thabiti ni upendo, wewe unaonaje hii mada yako inahubiri nini?