The First Ten Things A Guy Notices On A Lady In 10 Seconds

Nautilia mashaka utoto wa mjini wako,,,Au lugha haipandi mkuu??? Embu angalia namba 7 mdau ameongelea nini?

Sitaki nikuumbue bt ngoja nikupe somo.. Namba 7 imesema feet sasa feet ni kuanzia kwenye kiganja mpaka kwenye vidole vya miguu LEGS ni kuanzia kwenye goti mpaka kiganja sasa umeelewa so dont insult my intelligence na kusema sijui lugha mi na wewe nani hajui lugha hapo? Nakusamehe kwa leo bt usirudie siku nyingine ue unasoma dictionary kwanza kabla ya kuanza kuandika hapa
 
unaposema kiganja unamaanisha zile kongo mbili kule mguuni au?
 

Dah haya kaka,,nimekubali
 


mbona unajiamini sana wakati unapotosha watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…