sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Zote hizo xha mtoto yenyewe hii hapa:
Qatars Qtel trials 100mpbs Internet speeds for consumers
From 18 May 2011, Qtel is enabling customers within the companys trial fibre footprint to receive home Internet broadband at speeds of up to 100 Mbps. As Qtels next generation fibre network continues to extend, the company will be well positioned to offer this service to customers throughout Doha and other urban areas.
Source: Qatars Qtel trials 100mpbs Internet speeds for consumers | t-break: Tech @ Its Fastest
TTCL wanajibaraguza na 8Mbps ambayo sina uhakika kama inafanya kazi kwa spidi hiyo. Inakuwaje tusipate hata 10Mbps tu hapa TZ?
average speeds za top ten cities in the world (over 5MBps) ni almost impossible kupata isp hapa bongo atakupa that kinda speed. na the select few wanao hizo speeds wanapiga price za hatari. tsk tsk tsk. makes me wish nilizaliwa ulaya at times 🙁
jamani tusichanganye kati ya mbps na mbps. Capital b maanake ni byte na small b ni bit. Moja ni mara nane zaidi
umeona eh?? was]huni hapa bongo wanatoa 8mb/s (1MBps) ambapo hata hiyo 1MBps mpaka upate labda uishi chini ya mnarajamani tusichanganye kati ya MBps na Mbps. capital B maanake ni byte na small b ni bit. moja ni mara nane zaidi
ishu sio ni lini tu watamaliza maana hata wakimaliza leo huku bongo hadi ifike ni balaa na bado kuna wachakachuaji...zis is bongo bana!!Scientists has discovered fastest Wi-Fi which can transmit up to 2.5TBps (yes it's Tela Bytes) but for now it under development and it can only transmit at 1 meter range, Je Ni lini wata maliza hii kitu ili niache kununua hivi vi bluray disk.
ishu sio ni lini tu watamaliza maana hata wakimaliza leo huku bongo hadi ifike ni balaa na bado kuna wachakachuaji...zis is bongo bana!!
tatizo ndo hilo..uchakachuaji..kila mtu ndo anataka kushibia hapo pila kujali utendaji kazi wa hiyo technolojia..unadhani nini kitafuata zaidi ya kupewa maneno meengiiiii...!!Teknolojia ya bongo imeanza kukuwa kwa haraka sana lakini hatuitumii ipasavyo, tuna mkonga wa fibre optic unazunguka nchi nzima, tunau under utilize so far.
tatizo ndo hilo..uchakachuaji..kila mtu ndo anataka kushibia hapo pila kujali utendaji kazi wa hiyo technolojia..unadhani nini kitafuata zaidi ya kupewa maneno meengiiiii...!!
ishu sio ni lini tu watamaliza maana hata wakimaliza leo huku bongo hadi ifike ni balaa na bado kuna wachakachuaji...zis is bongo bana!!
hapana mkuu mi nakukatalia kwa hili..si kweli kuwa watumiaji hawajui matumizi ya hii technolojia..Tanzania ya sasa tofauti sana na tanzania ya miaka michache nyuma juu ya matumizi ya technolojia..saiz watumiaji wa hii tcholojia ni wengi mno..na bado wapo wengi sana wanaihitaji lakini wanaipata kwa taabu saana..na hata hao tunaoipata si kweli kuwa tuko happy..mfano mrahisi we angalia tu humu jamvini watu wanayolalamika juu ya hizi internet zetu za kibongo..matatizo matupu..basi tu tunavumilia! we unadhani aiktokea mtu mwenye akili akaamua kuwekeza kwenye hili na kutoa intenet safi nani atabaki kwenye hii mitandao ya kijinga?? na si kweli kuwa wanashindwa kutoa huduma bora tatizo ni uchakachuaji tu..kila mtu anaangalia tumbo lake..bajeti ikitolewa inaishia juu kwa juu..mtu akishashiba hajali tena technolojia yenu hii..itamsaidia nini yeye wakati kila kitu anacho na anamaisha mazuri..thats the problem!! kama ni watumiaji wapo wengi tu hata kama gharama zikiwa juu ni bora lakini tupate kitu cha uhakika..si kuzinguana kama hivi..watu wanajisifu na 3G wakati spidi yake hata 0.5G hamna!!!Siyo uchakachuaji, ni watu kutokujuwa hii teknolojia waitumie vipi.
Kinachotakiwa kufanywa ni aidha hawa ma service providers watumie huo mkonga na kuwafikishia watumiaji wa kawaida, au kuibukuka kwa service providers wengine wataoweza kuitumia hiyo teknology na kuifikisha inapotakiwa.
Kuwa na mkonga wa fibre optics wa taifa ni kama kuwa na bomba kubwa la maji, ambalo inabidi ukaunganishe mabomba madogo yatayosambaza hayo maji kwa watumiaji. Inabidi kuwe na uwekezaji wa makusudi.
Kwa sasa, ma service providers hawana ushindani mkubwa wa kibiashara na wanatengeneza pesa kwa zana walizonazo sasa hivi kuliko matarajio yao, kwanini waingize pesa zingine? inabidi waje wajitokeze wengine kuimarisha ushindani ndipo tutakapoona speed zikiongezeka kwa kasi.
Factor nyingine ni kuwa watumiaji wako happy na spidi za sasa na hakuna demand kubwa ya kuwa na spidi kali za teknolojia.
Unaona eeh..we unadhani ni kwanini wamejitenga uzunguni huko...hawataki ubabaishaji wa kibongo bongo..!!ukitaka kuamini system hiyo hiyo wangechukua mtandao wa kibongo ungeona kama hata wangeweza kusupply hata huko uzunguni tu kwa speed hiyo wanayopata saiv..Bongo ni zaidi unavo ijua LTE network tayari imezinduliwa hapa . Hata SA hawana hii kitu. Tatizo inapatikana uzunguni tu. Google 4G LTE network dar es saalam
hapana mkuu mi nakukatalia kwa hili..si kweli kuwa watumiaji hawajui matumizi ya hii technolojia..Tanzania ya sasa tofauti sana na tanzania ya miaka michache nyuma juu ya matumizi ya technolojia..saiz watumiaji wa hii tcholojia ni wengi mno..na bado wapo wengi sana wanaihitaji lakini wanaipata kwa taabu saana..na hata hao tunaoipata si kweli kuwa tuko happy..mfano mrahisi we angalia tu humu jamvini watu wanayolalamika juu ya hizi internet zetu za kibongo..matatizo matupu..basi tu tunavumilia! we unadhani aiktokea mtu mwenye akili akaamua kuwekeza kwenye hili na kutoa intenet safi nani atabaki kwenye hii mitandao ya kijinga?? na si kweli kuwa wanashindwa kutoa huduma bora tatizo ni uchakachuaji tu..kila mtu anaangalia tumbo lake..bajeti ikitolewa inaishia juu kwa juu..mtu akishashiba hajali tena technolojia yenu hii..itamsaidia nini yeye wakati kila kitu anacho na anamaisha mazuri..thats the problem!! kama ni watumiaji wapo wengi tu hata kama gharama zikiwa juu ni bora lakini tupate kitu cha uhakika..si kuzinguana kama hivi..watu wanajisifu na 3G wakati spidi yake hata 0.5G hamna!!!