Habari za majukumu waungwana wa JF!
Sisi "The EXPERTS group" ni kikundi cha vijana wenye fani na taaluma mbalimbali tusio na ajira, tunakuja kwenu wakuu wa jukwaa hili kuomba maoni, kazi, connection ili tuweze kujikwamua kiuchumi kupitia taaluma na vipawa tulivyonavyo.
Shughuli zetu ni kama ifuatavyo,
1. TECHNICAL SITE SURVEY
tunakusanya taarifa muhimu za maeneo ambayo mradi unatakiwa kutengenezwa ili kuuhakikishia uimara, ufanisi na kuweza kutegemewa kwa muda mrefu. Tunatumia vifaa kama dumpy level na theodolite ili kukamilisha kazi hii.
2. GEOTECHNICAL SITE SURVEY
Tunachunguza, kuchukua taarifa na kuandaa report za Hali ya udongo wa eneo/maeneo ambayo mradi unatakiwa kufanyika au kutengenezwa ili kuwezesha design ya singing wa jengo. Huwa tunatumia mascara za DIT na UDSM kuandaa report. Tunatumia kifaa cha DCP (Dynamic cone penetrometer) kuchukua taarifa za udongo.
3.AS-BUILT SITE SURVEY
Tunajishughulisha na kuchukua taarifa za jinsi mradi wa umeme ulivyojengwa kwa kuonyesha katika mchoro aina ya nguzo zilizotumika, size ya nguzo ya umeme, idadi ya stays, customer connection na features nyinginezo zinazopatikana site kama vile Barabara, mto, hospitali n.k
4. UJENZI WA KUBANDIKA TILES NA PAVING BLOCKS
Vilevile tunafanya kazi za kubandika tiles na paving blocks katika nyumba za watu, ofisi na taasisi mbalimbali.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu kwa niaba ya kikundi.
Kwa mawasiliano. DM me.