The European Parliament Resolution on Tanzania (2018/2969(RSP)) is all about LGBTI people

Na Yule aliyesema eti Lowassa awaambie wale wanaomukosoa kwamba wataishia jela , hivi anafuatilia sheria zipi
 
Magufuli anatawala kibabe kwa hiyo sisi mtu yote ambaye atamyoosha mbabe wetu hata kama ni shoga bora atuondolee dhoruba hili la maporini.
Haya ni maoni yetu lakini nionavyo sioni ubabe wa Magufuli. Kila anachokifanya anaruhusiwa na sheria ya nchi. Kuna watu wamechukia serikali kwa sababu tu ya vyeti feki. Hilo nalo tuseme rais mbaya? Wateule wake wanaoharibu kazi, ana madaraka ya kuwaondoa na ndivyo ilitakiwa kufanywa na marais wote na wananchi tuliomba iwe hivyo.

Kelele nyingi zinatoka kwa wanasiasa. Watu ambao hawana msaada wowote kwetu. Watu ambao walijiongezea mishahara na marupurupu kuliko mtu yeyote nchi hii. Leo hii wana mishahara kuliko daktari au profesa mwenye mchango mkubwa kwa watoto wetu. Kundi hili linalojiita wanasiasa, likajipa umaarufu na nguvu ya kuchota kipato cha Taifa. Sitta akiwa spika aliwahi kusema eti mbunge siyo mtu anayestahili kuishi maisha ya shida, na wakashangilia sana! Leo hii wanalialia kwa kuwa tu mambo yao hayaendi vizuri, siyo kwamba wanatupenda!

Huyu ndo rais anayejitambua. Hatutaki tena raisi asiyejua nguvu aliyonayo na badala yake anawinda vijisifa vya mitaani. Anajichanganya, anajua kuvaa, mwanadiplomasia, hana makuu, hana visasi, etc. hayo yabaki mitaani kwetu na siyo ikulu.
 
Soma hoja zote 15
Aliyeleta thrd ameandika 9. Mbona sioni 15? Ukitaka nchi yako isifike kokote, wewe timiza ya ulaya. Hakuna nchi nje ya Ulaya iliyoendelea karne ya hivi karibuni kwa kupangiwa na ulaya njia ya kupita. Ulaya hadi leo hii wanatamani kuwa na makoloni nje ya nchi zao na bado Ufaransa na UK wanashikilia nchi zingine nje ya bara lao.

Hebu nipe hoja moja unayoona EU wana mashiko ktk maoni yao. Moja tu!
 
sioni ubabe wa Magufuli.
lissu-1.jpg
9d479013ea4a253325746486a62abbcb.jpg

Hoja hazijibiwi kwa Risasi
 
Aliyeleta thrd ameandika 9. Mbona sioni 15? Ukitaka nchi yako isifike kokote, wewe timiza ya ulaya. Hakuna nchi nje ya Ulaya iliyoendelea karne ya hivi karibuni kwa kupangiwa na ulaya njia ya kupita. Ulaya hadi leo hii wanatamani kuwa na makoloni nje ya nchi zao na bado Ufaransa na UK wanashikilia nchi zingine nje ya bara lao.

Hebu nipe hoja moja unayoona EU wana mashiko ktk maoni yao. Moja tu!
Umetaka moja tu!Hebu fikiri kuhusu uhuru wako na wangu we bwege!Unataka tuwe kama korea?
 
Imenibidi niangalie una umri gani hapa JF. Umejiunga Octoba 2018, leo hii unajiamini unajua kujenga hoja na kutaja Uhuru wako na wangu. Mimi siko kundi moja na wewe. Uhuru unaoutaka ni kuruhusiwa kujionyesha ushoga wako, kwangu sihitaji. Sina niliponyimwa uhuru.

Hoja tunajifunza kuzijenga. Hata busara tunajifunza kuwa nazo. Ungepata kipindi cha mpito ujifunze kujenga hoja. Siyo unamaliza mtihani wa kidato cha 4. kesho yake unajiunga JF na kuanza ku-post.
 
Hivi issue kama ya Lissu ni classified???? Acha ushetani ewe kijana mdogo! Lissu kapigwa risasi sehemu yenye usalama mkubwa kuliko kawaida

Pembeni ya nyumba ya waziri na naibu spika!

Hebu kuwa muungwana kijana! Ever since police hata kutoa taarifa tu hawataki badala yake wanatuzuia tusimuombee makanisani

Halafu eti unatoa mifano ya UK

Hivi UK wanapiga wanasiasa risasi hovyo hovyo hivyo????

Independent Investigation mnaiogopa kwa niini? Kama hakuna anayehusika si mruhusu tu????

Umenichefua sana
 
Inapokuja issue ya Utaifa huwa naungana na kila mtu na kila chama kinachotetea utaifa.

Ukweli ni kwamba wazungu wana hali mbaya sana kuhusu Bongo.ijapokuwa ni kweli kwamba nchi yangu haiko shwari bado .mambo yamebana.ila hii.haiwezi kuwa bei tosha kuacha uzalendo.tusidanganyane niko na hawa wazungu kwa miongo kadhaa.nilichojifunza ni kuwa hawajawahi toa msaada wa bure.Every the so called suport or grant,has an intrinsic price .trust me.time gone are those we as a Nation being treated as kids.wanaleta dolar milion 30 kama msaada unaoambatana na masharti ya kipumbavu halafau makampuni ya kwao yanachukua dolar27milion.zinazobaki Tanzania ni milion 3.

Bora nchi ikope tujue moja .kuliko msaada wenye kuondoa utaifa na utu .sasa mtu anataka kusaidia kwa mfano kwenye sector ya afya au elimu halafu anasema nchi ihalalishe usenge.yaani maana yake nchi yenyewe nayo iwe ya kisenge.

Tunashukuru tumegutuka kungali mapema.tuache unafiki.tutapitia kwenye haloi ngumu ila tutaadapt maisha yataendelea

..hoja yao ina vipengele 14.

..kipengele kimoja ndiyo kinahusu masuala ya mashoga.

..kilichotokea ni kwamba tumeboronga kwenye maeneo mengi kiasi kwamba tunakosa "leverage" ya kukomaa na hao wazungu ktk suala la mashoga.

..moja ya hoja za eu dhidi ya serekali imesema hivi: " release all political prisoners."

..kuna wanachadema 51 wa Chato Geita walikuwa ndani kwa siku 171 wakizungushwa kwa kesi ya kuunga-unga ya kisiasa.

..kuna mashauri 300+ maeneo mbalimbali ya nchi dhidi ya wapinzani. Ni bahati mbaya kwamba vyombo vya habari vime concentrate kwenye kesi ya Mbowe na wenzake lakini huko mikoani kuna mamia ya viongozi na wafuasi wa cdm wanasumbuliwa kwa kesi za kubambikiwa.

..kuna mbunge wa cdm aliyefungwa kwa kesi ya kubambilkiwa. Yuko diwani alifungwa ktk mazingira hayohayo.

..Ukiacha kesi za kisiasa, kuna mauaji ya mashambulizi ya kisiasa yametokea na serekali haionyeshi interest ya kuchunguza, kuwatafuta, na kuwashitaki wahusika.

..Kwa maoni yangu, uzalendo ni kuichagiza serekali yetu ijisafishe ktk hoja 13 zilizotolewa. Baada ya hapo tutakuwa na moral authority ya kusimama kidete dhidi ya suala la mashoga.

..Vilevile uzalendo ni kupaza sauti dhidi ya ukatili na hujuma wanazofanyiwa wapinzani. Watanzania tulio wengi tunataka amani na mshikamano miongoni mwetu na siyo ubaguzi na ukatili kwa misingi ya kiitikadi.

NB.

..kwenye ushoga serekali iache kuchezea akili za wananchi. Serekali inayopinga ushoga isingemtoa Babu Seya kifungoni na kumkaribisha Ikulu.

..Tunatakiwa tupinge na kulaani ushoga kwa asilimia 100 na siyo kuwa selective.
 
Hivi issue kama ya Lissu ni classified???? Acha ushetani ewe kijana mdogo! Lissu kapigwa risasi sehemu yenye usalama mkubwa kuliko kawaida

Pembeni ya nyumba ya waziri na naibu spika!

Hebu kuwa muungwana kijana! Ever since police hata kutoa taarifa tu hawataki badala yake wanatuzuia tusimuombee makanisani

Halafu eti unatoa mifano ya UK

Hivi UK wanapiga wanasiasa risasi hovyo hovyo hivyo????

Independent Investigation mnaiogopa kwa niini? Kama hakuna anayehusika si mruhusu tu????

Umenichefua sana
Tatizo munaamini Lissu akiwa salama, nchi iko salama. Akiwa hatarini, nchi nayo iko hatarini. NOOOOO! Ouko aliuwawa akiwa wapi? Kulikuwa na independent investigation, ilisema nini na mwananchi aliambiwa nini? Tuwe reasonable. Tuelimike kwa ufahamu siyo mambo ya mitaani na matumaini yasiyokuwepo au yasiyowezekana.

Atakayeita independent investigator ni serikali. atakayepewa majibu ni serikali, unayemtegemea akusimulie yaliyoandikwa ni serikali. Kama unategemea nchi ya nje itakuja na majibu, haitatokea na haijawahi tokea. Hata Somalia haitokei. That's nonstarter!
 
..hoja yao ina vipengele 14.

..kipengele kimoja ndiyo kinahusu masuala ya mashoga.

..kilichotokea ni kwamba tumeboronga kwenye maeneo mengi kiasi kwamba tunakosa "leverage" ya kukomaa na hao wazungu ktk suala la mashoga.

..moja ya hoja za eu dhidi ya serekali imesema hivi: " release all political prisoners."

..kuna wanachadema 51 wa Chato Geita walikuwa ndani kwa siku 171 wakizungushwa kwa kesi ya kuunga-unga ya kisiasa.

..kuna mashauri 300+ maeneo mbalimbali ya nchi dhidi ya wapinzani. Ni bahati mbaya kwamba vyombo vya habari vime concentrate kwenye kesi ya Mbowe na wenzake lakini huko mikoani kuna mamia ya viongozi na wafuasi wa cdm wanasumbuliwa kwa kesi za kubambikiwa.

..kuna mbunge wa cdm aliyefungwa kwa kesi ya kubambilkiwa. Yuko diwani alifungwa ktk mazingira hayohayo.

..Ukiacha kesi za kisiasa, kuna mauaji ya mashambulizi ya kisiasa yametokea na serekali haionyeshi interest ya kuchunguza, kuwatafuta, na kuwashitaki wahusika.

..Kwa maoni yangu, uzalendo ni kuichagiza serekali yetu ijisafishe ktk hoja 13 zilizotolewa. Baada ya hapo tutakuwa na moral authority ya kusimama kidete dhidi ya suala la mashoga.

..Vilevile uzalendo ni kupaza sauti dhidi ya ukatili na hujuma wanazofanyiwa wapinzani. Watanzania tulio wengi tunataka amani na mshikamano miongoni mwetu na siyo ubaguzi na ukatili kwa misingi ya kiitikadi.

NB.

..kwenye ushoga serekali iache kuchezea akili za wananchi. Serekali inayopinga ushoga isingemtoa Babu Seya kifungoni na kumkaribisha Ikulu.

..Tunatakiwa tupinge na kulaani ushoga kwa asilimia 100 na siyo kuwa selective.
Joka! Yaani serikali ijisafishe kwa hoja zilizoandikwa Ulaya na kutumwa TZ? Je, sisi wa-TZ pia tunaziona kwamba ni hoja? Nchi hii imegawanyika, kila mtu na njia yake. Bahati mbaya wanasiasa wanatufanya kama springboard. Wao wako matatani kwa kazi zao za siasa, wanataka wananchi wote tusikie matatizo yao. Wao wanasikia matatizo yetu? Nilipokuwa ninauza korosho yangu kwa shilingi 800 walikuwepo? walinitetea? Hapana! Badala yake wao ndo wakageuka kuwa wanunuzi kwa bei hiyo. Leo hii mimi nina 3200, wananialika niwatetee warudi jukwaani, NO!

Tukubaliane kwamba wote tuwe wema. Wote tutendeane haki. Sawa lakini itawezekana kweli? NO!
Siasa za ustaarabu zianzie kwa wanasiasa wastaarabu. Hawa wa kwetu wanasema kazi yao siyo kuisifu serikali, fine! Lakini itabidi walazimishe kuonyesha ubaya wa serikali na hapo ndo zogo linaanzia. Mbona Odinga anapewa nafasi na anaisifu serikali? SIyo kwamba Uhuru ni bora sana, Odinga ni mwanasiasa anayejitambua. Tatizo ni ubora duni wa wansiasa wetu, upinzani na chama tawala. Aliye na nguvu lazima alazimishe wengine kufuata njia. Lazima awanyooke.
 
Imenibidi niangalie una umri gani hapa JF. Umejiunga Octoba 2018, leo hii unajiamini unajua kujenga hoja na kutaja Uhuru wako na wangu. Mimi siko kundi moja na wewe. Uhuru unaoutaka ni kuruhusiwa kujionyesha ushoga wako, kwangu sihitaji. Sina niliponyimwa uhuru.

Hoja tunajifunza kuzijenga. Hata busara tunajifunza kuwa nazo. Ungepata kipindi cha mpito ujifunze kujenga hoja. Siyo unamaliza mtihani wa kidato cha 4. kesho yake unajiunga JF na kuanza ku-post.
Ungejua wala usingesema hivyo,niko hapa tokea inaitwa jambo forum!Wewe mtoto wa juzi utaniambia nini
 
Aliyeleta thrd ameandika 9. Mbona sioni 15? Ukitaka nchi yako isifike kokote, wewe timiza ya ulaya. Hakuna nchi nje ya Ulaya iliyoendelea karne ya hivi karibuni kwa kupangiwa na ulaya njia ya kupita. Ulaya hadi leo hii wanatamani kuwa na makoloni nje ya nchi zao na bado Ufaransa na UK wanashikilia nchi zingine nje ya bara lao.

Hebu nipe hoja moja unayoona EU wana mashiko ktk maoni yao. Moja tu!
Kwahiyo tokea 2005 mpaka 2015 tulikuwa tukipangiwa?Maana hatukuyaona haya!
 
Joka! Yaani serikali ijisafishe kwa hoja zilizoandikwa Ulaya na kutumwa TZ? Je, sisi wa-TZ pia tunaziona kwamba ni hoja? Nchi hii imegawanyika, kila mtu na njia yake. Bahati mbaya wanasiasa wanatufanya kama springboard. Wao wako matatani kwa kazi zao za siasa, wanataka wananchi wote tusikie matatizo yao. Wao wanasikia matatizo yetu? Nilipokuwa ninauza korosho yangu kwa shilingi 800 walikuwepo? walinitetea? Hapana! Badala yake wao ndo wakageuka kuwa wanunuzi kwa bei hiyo. Leo hii mimi nina 3200, wananialika niwatetee warudi jukwaani, NO!

Tukubaliane kwamba wote tuwe wema. Wote tutendeane haki. Sawa lakini itawezekana kweli? NO!
Siasa za ustaarabu zianzie kwa wanasiasa wastaarabu. Hawa wa kwetu wanasema kazi yao siyo kuisifu serikali, fine! Lakini itabidi walazimishe kuonyesha ubaya wa serikali na hapo ndo zogo linaanzia. Mbona Odinga anapewa nafasi na anaisifu serikali? SIyo kwamba Uhuru ni bora sana, Odinga ni mwanasiasa anayejitambua. Tatizo ni ubora duni wa wansiasa wetu, upinzani na chama tawala. Aliye na nguvu lazima alazimishe wengine kufuata njia. Lazima awanyooke.

..aliyetuharibia ni Magufuli.

..huo ndiyo ukweli ambao wengine hamtaki kuusema.

..kwani hukumuona Mbowe akisifia wakati wa Kikwete? Hukumuona hata wameshikana na Magufuli wakicheza mziki?

..huo ulikuwa wakati wa Kikwete. Leo kaingia Magufuli, tunashuhudia Mwenyekiti wa chama cha upinzani, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, akinyea debe mahabusu.

..Inawezekana mambo haya ni ya kawaida kwa waTz, lakini nakuhakikishia ni mambo ya ajabu kwelikweli ktk nchi za hao waliotuandikia waraka na mabalozi wao wako hapa nchini.

..Haiyumkiniki kwa nchi za wenzetu kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kutupwa jela kama ilivyotokea kwa Mbowe.

..Haiyumkiniki ktk nchi za wenzetu Chief wheep wa Upinzani apigwe risasi kama mnyama pori ktk compound ya serekali kama ilivyotokea kwa Tundu Lissu.

..Kuna mlolongo wa matukio ya kikatili yamekuwa yakiendelea humu nchini kiasi kwamba yamezoeleka. Ukweli ni kwamba walikuwa wanatuvumilia tu.

..Unapozungumzia korosho sidhani kama kuna mpinzani aliyeizuia serekali kuweka mazingira mazuri zaidi ktk sekta hiyo.

..Kama wakulima walikuwa wakilipwa kidogo serekali ilikuwa na nafasi ya kufidia pungufu la bei ambayo wakulima wamelipwa ktk soko huria.

..Hakuna mpinzani aliyeizuia serekali kujenga viwanda vya kubangua korosho. Badala yake serekali imefuja mabilioni kama siyo matrilioni kwenda kununua bombadier na dreamliner.

..Hili siyo suala linalohusu kambi mbili za kisiasi zinazolingana nguvu. Kuna kambi moja yenye nguvu na imeshika mpini dhidi ya kambi isiyo na nguvu na imeshika makali.

..Wazalendo wa nchi hii wanapaswa kumkumbusha Magufuli kwama ameshika mpini hivyo awe makini asiumize wenzake.
 
Soberly, ni wakati huo huo Kikwete aliambiwa ni dhaifu! Nilisikia wabunge wakisema wanammiss, Kikwete alipokwenda kushuhudia kuapishwa mkewe. Hiyo ilikuwa halali. Kumbuka ndo wakati posho za wabunge zilifikia laki 3! Bahasha Bungeni zilikuwa zinatembea kama hewa tunayovuta. IGP Mahita akiwatetea askari aliwahi kuwaambia wabunge kwamba posho yao ya siku ndo mshahara wao kwa mwezi. Akaambiwa ataitwa bungeni kujieleza. Ukisoma novel ya UHURU, utaelewa kwa nini mfungwa humsifu askari mzembe gerezani.
 
Back
Top Bottom