The European Parliament Resolution on Tanzania (2018/2969(RSP)) is all about LGBTI people

Hii ni chai ya rangi!!!!!!!Mmeshikwa pabaya,mpaka kieleweke!Haiwezekani waliomuua Akwilina wamefutiwa mashitaka na DPP halafu akina Mbowe ambao ndio wahanga ndio wako jela!
Huu ni ufala wa hali ya juu
Kumbe wewe uko kisiasa, kwa hiyo bora anayetetea ushoga kisa tu mwenyekiti wako ameshikiliwa kwa makosa aliyotenda? Sasa ndo mtajua JPM haogopi hao vibaraka wenu
 
Kumbe wewe uko kisiasa, kwa hiyo bora anayetetea ushoga kisa tu mwenyekiti wako ameshikiliwa kwa makosa aliyotenda? Sasa ndo mtajua JPM haogopi hao vibaraka wenu
Yaani wakaze kabisa ili dhoruba itukumbe wote!
 
Waruhusu tuu tuanze kuzibuana. Mimi nitaenda kujichukulia mtaro mmoja mitaa ya ufipa niwe nazibua kibingwa.
 
Inapokuja issue ya Utaifa huwa naungana na kila mtu na kila chama kinachotetea utaifa.

Ukweli ni kwamba wazungu wana hali mbaya sana kuhusu Bongo.ijapokuwa ni kweli kwamba nchi yangu haiko shwari bado .mambo yamebana.ila hii.haiwezi kuwa bei tosha kuacha uzalendo.tusidanganyane niko na hawa wazungu kwa miongo kadhaa.nilichojifunza ni kuwa hawajawahi toa msaada wa bure.Every the so called suport or grant,has an intrinsic price .trust me.time gone are those we as a Nation being treated as kids.wanaleta dolar milion 30 kama msaada unaoambatana na masharti ya kipumbavu halafau makampuni ya kwao yanachukua dolar27milion.zinazobaki Tanzania ni milion 3.

Bora nchi ikope tujue moja .kuliko msaada wenye kuondoa utaifa na utu .sasa mtu anataka kusaidia kwa mfano kwenye sector ya afya au elimu halafu anasema nchi ihalalishe usenge.yaani maana yake nchi yenyewe nayo iwe ya kisenge.

Tunashukuru tumegutuka kungali mapema.tuache unafiki.tutapitia kwenye haloi ngumu ila tutaadapt maisha yataendelea
 
Safari hii hata mkiposti kifaransa sisi tuko na EU/USA.
Literally, mko side ya kutetea ushoga, siyo? Hata kama unaichukia serikali/chama - usijitoe fahamu kwa kiwango hicho mkuu. Maneno yenu yatakuja kuwasuta siku moja!
 
Literally, mko side ya kutetea ushoga, siyo? Hata kama unaichukia serikali/chama - usijitoe fahamu kwa kiwango hicho mkuu. Maneno yenu yatakuja kuwasuta siku moja!
Magufuli anatawala kibabe kwa hiyo sisi mtu yote ambaye atamyoosha mbabe wetu hata kama ni shoga bora atuondolee dhoruba hili la maporini.
 
Magufuli anatawala kibabe kwa hiyo sisi mtu yote ambaye atamyoosha mbabe wetu hata kama ni shoga bora atuondolee dhoruba hili la maporini.
Si nyie ndio mlikuwa mnataka Tanzania ipate kiongozi mbabe?
 
Nenda Iraq au Libya ukawaeleze utumbo huo kama hawajakugombea kama mpira wa kona ! Pathetic!
Kweni hii tuliomo na libya inatofauti gani watu wanazulumiwa mali zao watu wanauwawa matajiri wamefanywa maadui wafadhili wa CCM wananyang'anywa mali zao unataja Libya gani.
 
Kweni hii tuliomo na libya inatofauti gani watu wanazulumiwa mali zao watu wanauwawa matajiri wamefanywa maadui wafadhili wa CCM wananyang'anywa mali zao unataja Libya gani.
You are such a shallow minded individual to make an argument ! YOU SIMPLY KNOW NOTHING !!!
 
Yaani wewe yawezekana hata hujui yanayoenda mkuta Trump ! Masikini wa akili ![/QUOm
USA ilikuwapo kabla ya Trump kwa taarifa yako kiboko yenu ameingia uchaguzi ujao CCM isipofanya mabadiliko ya uongozi wa juu ni kifo cha mende.
 
Back
Top Bottom