dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,954
- 9,474
...na kwanini upewe msaada wa bureInapokuja issue ya Utaifa huwa naungana na kila mtu na kila chama kinachotetea utaifa.
Ukweli ni kwamba wazungu wana hali mbaya sana kuhusu Bongo.ijapokuwa ni kweli kwamba nchi yangu haiko shwari bado .mambo yamebana.ila hii.haiwezi kuwa bei tosha kuacha uzalendo.tusidanganyane niko na hawa wazungu kwa miongo kadhaa.nilichojifunza ni kuwa hawajawahi toa msaada wa bure.Every the so called suport or grant,has an intrinsic price .trust me.time gone are those we as a Nation being treated as kids.wanaleta dolar milion 30 kama msaada unaoambatana na masharti ya kipumbavu halafau makampuni ya kwao yanachukua dolar27milion.zinazobaki Tanzania ni milion 3.
Bora nchi ikope tujue moja .kuliko msaada wenye kuondoa utaifa na utu .sasa mtu anataka kusaidia kwa mfano kwenye sector ya afya au elimu halafu anasema nchi ihalalishe usenge.yaani maana yake nchi yenyewe nayo iwe ya kisenge.
Tunashukuru tumegutuka kungali mapema.tuache unafiki.tutapitia kwenye haloi ngumu ila tutaadapt maisha yataendelea
Unaongelea utaifa utaifa UPI huu wa watawala kuwaua na kuwafunga wanaowakosoa kubalini jamaa yenu mmempa cheo kilicho juu ya uwezo wake!
hatushangai mnaomshangilia maana hata Mugabe alikuwa na wapuuzi wengi wanaomshangilia bila kumwambia ukweli Nchi ilikufa mpaka wakawa wanatumia hela za Nchi nyingine tambueni hata kama kwa kumwambia ukweli mtawala wa hovyo utakosa V8 sawa muhimu Nchi ipone