The English of President Magufuli of Tanzania

Ganbei!! China Embraces English Language
In an effort to promote internationalism, China is learning English.

In the next five years, all state employees younger than 40 will be required to master at least 1,000 English phrases, and all schools will begin teaching English in kindergarten. The government also is funding extensive teacher training programs to find new models for language learning and develop new textbooks.

Kwa ufahamisho tu Rais wa China anaongea English nzuri tu ila kwa sababu za kidiplomasia, kisiasa na kiutamaduni hafanyi hivyo kwenye hotuba zake ndani au nje ya nchi. Rais Magufuli naye angefanya hivyo hivyo...asiongee kwa lugha ambayo haijui, ndiyo hajui English, aongee Kiswahili ingawa na chenyewe ndio hivyo tena. Hakuna haja yoyote ya kubeza English, tutake tusitake ndiyo lugha ya dunia kama Kiswahili ilivyo lugha ya Tanzania.
 
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC head of States. His english is neither good nor bad but it can be better.

President Magufuli speaks SwahiEnglish, a language nowhere to find. As a matter of fact, President Magufuli needs a 6 month extra english lessons to catch up with his counterparts in the region.

I understand why he didn't attend the Davos Conference in Switzerland, the fear is enorm if you can't express or hold bilateral sessions with your colleagues in a language that yourself you don't manage.

I also understand why he invited all ambassadors to the state house yet he didn't appear. He ended hiding himself underneath of the state house tables elsewhere in the house.

His level of english communications is too low. This is another major blow for Tanzanians after Kikwete finding himself in the same situation in his presidency.
Mleta mada kaleta mada vizuri wala hajatukana mtu kinachonishangaza nii hao wanaomtukana. Nchi yetu kumbe ina wapumbavu wengi sana. Kilichoongelewa ni fact. Ni vyema huyo rais wetu akanoa kiingilishi chake ili aweze kujiamini na kufanya mawasiliano vizuri pindi inapobidi. Inaelekea munaopiga kelele za kiingereza cha nini nyinyi wenyewe hamkijui na wala hamkuelewa alichoandika mleta mada. Kawaulize wafanyabiashara wanaoenda nchi za nje nini maana ya kujua lugha hiyo.
 
Ushabiki wa kisiasa hautufai hapa, leteni utetezi wenye mashiko. Kama kiingereza hakina maana mbona hata huyo JPM kasoma toka sekondari hadi PhD kwa kutumia kiingerza hicho hicho. Leo vijana wetu wa sekondari na vyuo bado wanasoma kwa kutumia kiingereza hicho hicho alafu leo munasema hakifai? Kama ni kulaumu basi tuilaumu CCM yenu kwa sababu ndo imekiohodhi kiingereza kwa kushindwa kubadili lugha ya kutumia kuanzia sekondari hadi vyuo. Hapa nyie mbumbumbu munachojivunia na munayemkashifu ni nani kama siyo CCM?
 
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC head of States. His english is neither good nor bad but it can be better.

President Magufuli speaks SwahiEnglish, a language nowhere to find. As a matter of fact, President Magufuli needs a 6 month extra english lessons to catch up with his counterparts in the region.

I understand why he didn't attend the Davos Conference in Switzerland, the fear is enorm if you can't express or hold bilateral sessions with your colleagues in a language that yourself you don't manage.

I also understand why he invited all ambassadors to the state house yet he didn't appear. He ended hiding himself underneath of the state house tables elsewhere in the house.

His level of english communications is too low. This is another major blow for Tanzanians after Kikwete finding himself in the same situation in his presidency.

Pumbavu sisi tuliomchagua atutumikie anatufaa hatukuchagua Rais kwa ajili ya watu wa nje huyo aliyekuwa anajua kizungu ukitakacho amekuachia nini wewe zobaa? RAIS wa China alikuja hapa anaongea kichina wewe na wajinga wenzio hamkuelewa alichotaka? Kumbuka huyo ni Rais wa watanzania na siyo Rais wa wakenya Uganda, Rwanda au Burundi.

Umeandika mambo marefu nikadhani unaongea kitu cha maana kumbe upumbavu na ujinga uliokujaa mpaka sehemu ambazo siwezi andika hapa maana nitakuwa mpumbavu kama wewe usiyejali Taifa lako. Unamkashifu Rais kwa sababu ya ujinga wako hivi mpaka amepata PhD ya kemia siku zote ulikuwa unamsemea wewe hivi English imekuwa lugha ngumu ya kujifunza miaka mia moja tena nasema acha kashifa mpumbavu wewe.
 
Mleta mada kaleta mada vizuri wala hajatukana mtu kinachonishangaza nii hao wanaomtukana. Nchi yetu kumbe ina wapumbavu wengi sana. Kilichoongelewa ni fact. Ni vyema huyo rais wetu akanoa kiingilishi chake ili aweze kujiamini na kufanya mawasiliano vizuri pindi inapobidi. Inaelekea munaopiga kelele za kiingereza cha nini nyinyi wenyewe hamkijui na wala hamkuelewa alichoandika mleta mada. Kawaulize wafanyabiashara wanaoenda nchi za nje nini maana ya kujua lugha hiyo.
Pumbavu wewe unamfananisha Rais wa nchi na wafanyabiashara!? Rais hana umuhimu wa hayo uliyoyaeleza na ndio maana ana watu Kama kina Waziri Mahiga and the likes kuongea hiyo lugha ya hao bwana zenu wazungu pale inapobidi. After all Huyo Balozi wa Great Britain si alienda IKULU kuonana na Mh Rais...Mbona alimuelewa na kumpa pongezi lukuki!!!?? Pumbavu Kama nyinyi inatakiwa mfungiwe kwenye ukumbi Kama pale Diamond Jubilee na Simba Kama 6 hivi mcheze nao Ekotikee na kutwanga selfie za kutosha Nyamafu nyinyi.
 
Itakuwa umezaliwa kati ya miaka ya 1988-1998 ndio maana huelewi ya kuwa Twiga ni nembo ya Taifa. Kipindi cha miaka ya nyuma wakati wa Mwalimu Julius K Nyerere (may his soul Rest in Peace) tulikuwa na ndege zetu (ATC) na katika mkia wa ndege kulikuwa kuna nembo yetu ya taifa ya Twiga. Hiyo uliyoweka wewe ni nembo ya Serikali.

Ni Kama Uganda wanavyotumia ndege (Crane) Kama nembo ya Taifa na Kenya wanatumia Simba.
Google kitu inaitwa WORLDATLAS halafu tafuta Tanzanian Symbols. Itakusaidia kupata uelewa na haya mapupunye mengine yaliyokuwa yanabisha Twiga sio alama ya Taifa letu.
kijana una uhakika naunacho kiandika hapa au umepanic.
 
Mtoa mada Ni mbumbu kweli !
Hata angeongea Kisukuma hadhi yake inabakia palepale, ingawa ameongea kiingereza cha moja kwa moja bila kigugumizi wala kusita, rais wetu anaongea lugha zaidi ya tano ! Yuko Juu mno Magufuli ....
 
kijana una uhakika naunacho kiandika hapa au umepanic.
Kama haujui Twiga ni nembo ya Taifa Ila unajua Davido anavaa chupi gani na Wema mimba imetoka lini unataka nikuweke kwenye kundi gani!!!?? Nenda kasome WORLDATLAS Kama nilivyokuelekeza halafu kakojoe ulale. Au bado Unalala sebuleni kwa shemeji!!??
 
Haaahaaa would be a very big problem if my President intended to rule Tanzania depending on donor funds and loans from those forums but as far as his focus is on our resources for our development, then this approach lessens the requirements of spoken English as long as he is fluent in Reading and Writing the Language.In our case reading and writing matters and has great impact in reviewing contracts and other sensitive documents.
By the way many Asian leaders and even some of eastern Europe countries are not very fluent in spoken English but successful in leadership and development.
His leadership ability,decision making and positive thinking about our country's development matters a lot to me as a royal citizen of Zamunda Kingdom.
Watoto wanahitaji baba mwenye kujali na uwezo wakuiinua familia yao kiuchumi siyo kushinda vilabuni akiongea cha mkoloni.
Tena hata ingekuwa anaongea Kisukuma tu cha msingi akisema jambo anatekeleza au watumishi wanalitekeleza thus all we need.
We don't need a CNN journalist, all we want a good father and serious President.
 
kijana una uhakika naunacho kiandika hapa au umepanic.
Utajichosha bure achana nae huyo ni kama vitabu vya dini hana asilo lijua ,anabadilisha hoja mwanzo alikataa kwamba raisi sio nembo ya taifa akaja na madai yake nembo ya taifa ni twiga ,kuna waungwana wakamuuliza una uhakika na hicho akaishia kuwatukana

Sasa anaposema Twiga ni nembo ya Taifa sijui ni lini Twiga alisimama kwenye podium akawa anahutubia Mkutano wa umoja wa mataifa kwa niaba ya Watanzania ,
 
Aisee nakuonya kwa mara hii endelea na mambo yako.
 
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC head of States. His english is neither good nor bad but it can be better.

President Magufuli speaks SwahiEnglish, a language nowhere to find. As a matter of fact, President Magufuli needs a 6 month extra english lessons to catch up with his counterparts in the region.

I understand why he didn't attend the Davos Conference in Switzerland, the fear is enorm if you can't express or hold bilateral sessions with your colleagues in a language that yourself you don't manage.

I also understand why he invited all ambassadors to the state house yet he didn't appear. He ended hiding himself underneath of the state house tables elsewhere in the house.

His level of english communications is too low. This is another major blow for Tanzanians after Kikwete finding himself in the same situation in his presidency.
Sidhani kama anahitaji kufahamu ndugu mleta mada. Kuna Raisi wengi sana hawafahamu hata punje ya kiingereza
 
WACHINA HAWAZUNGUMZI KIINGEREZA KWAHIYO HAWAFANYI BIASHARA!?DUNIANI
Hivi mkuu ni nani aliyekuambia Rais wa china hajui kuzungumza kiingereza? Marais wote wa China yaani aliyepita na huyu wa saaa wanazungumza kiingereza kizuri tu ingawa sio native speakers.

Katika dunia ya sasa yenye kuhusisha meetings mbalimbali na international projects NI MUHIMU SANA KUJUA KIINGEREZA ikiwa ni international language na inayozungumzwa na viongozi wa nchi mbalimbali.

Wewe unataka Wakenya waendelee kufanya advert za rasilimali zetu huko nje kuwa ni zao? Jaribu kurefer back kwenye awamu ya tatu Zakhia Meghji alivyokuwa waziri wa Mali asili na Utalii ndio utajua kutokujua kiingereza kilivyotuponza.

Au unataka tuwe tunaletewa mikataba iliyoandikwa kwa very formal english tushindwe kuitathmini na kuichanganua?

Hao investors wanaokuja kuwekeza huku wanazungumza kiswahili?

Wafanyabiashara wa kitanzania wakifanya biashara na customers wa Egland,Ireland,USA,Canada,Jamaika n.k wanatumia kiswahili?

RAIS WETU AHAKIKISHE ANAZUNGUMZA KIINGEREZA FLUENTLY KWASABABU HATADEAL NA SISI WASWAHILI TU.
 
WACHINA HAWAZUNGUMZI KIINGEREZA KWAHIYO HAWAFANYI BIASHARA!?DUNIANI
Hivi mkuu ni nani aliyekuambia Rais wa china hajui kuzungumza kiingereza? Marais wote wa China yaani aliyepita na huyu wa sasa wanazungumza kiingereza kizuri tu ingawa sio native speakers.

Katika dunia ya sasa yenye kuhusisha meetings mbalimbali na international projects NI MUHIMU SANA KUJUA KIINGEREZA ikiwa ni international language na inayozungumzwa na viongozi wa nchi mbalimbali.

Wewe unataka Wakenya waendelee kufanya advert za rasilimali zetu huko nje kuwa ni zao? Jaribu kurefer back kwenye awamu ya tatu Zakhia Meghji alivyokuwa waziri wa Mali asili na Utalii ndio utajua kutokujua kiingereza kilivyotuponza.

Au unataka tuwe tunaletewa mikataba iliyoandikwa kwa very formal english tushindwe kuitathmini na kuichanganua?

Hao investors wanaokuja kuwekeza huku wanazungumza kiswahili?

Wafanyabiashara wa kitanzania wakifanya biashara na customers wa England,Ireland,USA,Canada,Jamaika n.k wanatumia kiswahili?

RAIS WETU AHAKIKISHE ANAZUNGUMZA KIINGEREZA FLUENTLY KWASABABU HATADEAL NA SISI WASWAHILI TU.
 
Acha kudanganya watu,upo mtwara unasema upo uk.kwani ukichangia tu bila kusema upo wapi hatutakuelewa??
Kwani wanaoishi Mtwara wana laana? Karne ya 21 hii bado kuna vichwa-panzi kama wewe mnaodhani mtu kuishi nje ya nchi ni muujiza?
 
Kuukataa ukweli ni sawa na kujaribu kukimbia kivuli chako. Ukweli huwa unauma hasa kwa wale ambao hawapendi kuusikia, lakini ukweli ni kama dawa unatibu kwa wale walio tayari kuukubali na kuufanyia kazi. Unakuweka huru na wala hutahitaji kubishana wala kumtukana mtu, maana ndani ya moyo wako unajua hiki ni kweli.
Watu wasiokubali ukweli ni wabishi, wana hasira na mara nyingi hutoa maneno makali kwa sababu ukweli unakuwa unachoma mioyo yao. Wanaumia sana na wanaishia kutukana na hata kupigana. Lazima tufike mahali tukubali kwamba ukweli lazima utaumiza upande mmoja, kwani haugawanyiki. Upande unaoumizwa na ukweli usitafute mchawi, mchawi ni wao wenyewe wanaotaka kukimbia kivuli chao.
Mleta uzi umeeleza ukweli, sijashangaa kuona wasiopenda kusikia ukweli wakihamaki na kutoa lugha zinazoonesha walivyoumia. Sio kila mara utasikia kile unachopenda kusikia, tuwe wavumilivu pia kusikia kile tusichokipenda. Huo ndio uungwana. Na wakati mwingine kama jambo hulipendi, we pita tu endelea na yako....yaani puuza tu ili usiumie bure.
 
Hii milofa inayotaka magufuli aongee kiinglish cha kubana pua kama mzungu inaniudhi Sana! Mijinga hii inamwona mtu anayeongea kiingereza ndiye wa maana hatakama anawadhulumu.
Tushachoka huu upuzi kama mnataka kiingreza chaulaya kaoleweni na kameroon,tuacheni na machine magufuli tupige kazi za maana shen...zy type.
Mtoa mada ulitakiwa ukamatwe upigwe viboko hadharani,msituletee demokrasia za kipuuzi,kazi kuigaiga wazungu! Umetafuta vi vocabulary kwenye dictionary ili tukuone mkali. We ni jilofa kuliko milofa menzako.
 
Back
Top Bottom