Bora wakudadavua umefunguka kwa kutuwekea kisa cha kukamatwa kwa kabendera! Sasa mbona mambonow na huyu Wa paspoti wanajichanganya kwa lengo la kutuchanganya?
Hebu anzisha Uzi mwingine Wa kuwatahadharisha hatari inayowakabili kwa kujichanganya kwao kwani RAIA wanazidi kuwa sugu na wameapa kutokubali kuchanganywa na policcm!