The Economist: Takwimu za Tanzania zina shida

Penda kujisomea na kusikiliza taarifa zinazofaa na kukuelimisha na zaidi ya hapo kila kitu kina pande mbili kama sarafu head or tail au kushoto na kulia, au ubaya na uzuri wa kitu, au compare and contrast , halafu tafakari hizo taarifa na kukupa a sensible meaning of those information .
Inatosha tu kukufahamisha kuwa hadi hapa umeonyesha upuuzi wa hali ya juu katika mada hii.
 
Bajeti zote za Tanzania tangu enzi ya Malima ni magumashi.

Na hizo ndizo nilizozichambua tu. Huko nyuma sijapitia.
 
Back
Top Bottom