Mzalendo JR
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,193
- 515
Vita dhidi ya mihadarati watanzania wote tunaunga mkono iwapo tu kuna tija katika hilo. The so called drug cartels all over the world wana madui walewale, mosi ni the rival cartel na pili ni polisi au vyombo vya usalama.
Kwa nchi kama Colombia au Mexico kukutana na maiti 5 kwa siku na wote wakiwa wameuawa na magenge haya ni kawaida, nslisema hili kwa kua vita inayopiganwa Tanzania ni the modern approach.
Kuliko kutumumia mtutu kukinga mkondo wa usambazaji dhidi ya genge pinzani, hii imelifanya kwa mbinu ya WHO IS CLOSER TO THE GOVERNMENT, and the closer the cartel is to the Government the more secured supply chain.
All drug cartels hutoa pesa nyingi kwa viongozi hasa walio katika majimbo kitovu cha uafirishaji ili kupata ulinzi na kusaidia kuua genge pinzani kwa kutumia polisi au vyombo vingine.
Kwa TANZANIA.....
List nyingi zinawataja King_Pings wa usafirishaji kanda ya Africa mashariki. Mmoja kama sio wote ni zao la viongozi waliopita serikalini, na the so called mpiganaji vita hii hajagusa yeyote kati yao na mtandao wao.
Kuna pia taarifa kua wakuu flani hula na kunywa na hawa King_Pings mmoja wapo akiwa Africa kusini (Mtanzania).
Na hili liko wazi kwa kua hata JPM alisema skendo ya Masogange (Panda) cocaine kua unga wa muhogo but punda huyu hajawahi tajwa. Je huyu ni punda wa genge linalomfadhili na kumtumia Mkuu kuangamiza genge pinzani ili kua major player in EA???.
Kumbukeni rafiki mkubwa wa drug cartels ni serikali na pia adui mkubwa ni serkilali na genge pinzani. Serikali hua rafiki pale inapoungana na genge kulinda siko lake na kuua genge pinzani, the opposite is also true.
Kwa utajiri unaopigiwa kelele kuhusu Makonda hadi bungeni, na mshahara usiokua na posho...Je Makonda anatumiwa na genge moja to secure the EA trafficking channel???.
Yawezekana sio but are we all fools to believe the propaganda he is playing for not touching the elite's drug cartel??. He does that coz yuko na that trust from JPM and I don't blame JPM but he is bring fooled by Makonda na ndo maana yuko fore front coz he has to pay his dues to the cartel behind to secure the turf. No two drug cartels will exist on the same supply chain, someni mifano ya Mameya wa MEXICO wanachofanya, almost 90% ni representatives wa Drug cartels.