Huwezi ku like shepu ya mdada halafu ukatangaza kuwa you love her, hivi unadhani hilo shepu huwa linadumu? We sema umetamani shepu yake wala hujampenda maana hilo shepu likiporomoka baada ya tamaa zako kuisha utahamia kwa kwa baby zuu uendeleze tamaa zako huko.
Kumbuka LOVE hushughurikia hali zote katika shida na raha.
LIKE hushughurikia tamaa iliyowaka na baada ya kula mzigo kwisha utaachana naye maana ile shepu uliyoitamani itakuwa expired kwako.
Boss hemu makinika na maelezo..MOSI
PiLI, tukisema Like usilazimishe kuwa Ni makalio tu like tunazungumzia unavyo meet mwanamke for the first time mfano umemuona standa umevutiwa nae umtongoze hio ni LIKE
Hoja yangu ni ”Mahusino yote unayoyao a Duniani watu walianza na LIKE for the first then LOVE inakuja baada ya kudumu kwenye mahusino kwa muda" na wala hoja hazungumzii kutamani makalio wala shepu ni mtu kwa unjumla awe kavaa mabaibui vyovyote vile namzungumzia mtu MWANAMKE IN GENERAL
Kuzaliwa kwa uoendo (love), kwa experience yangu tangu naanza mahusiano hufikia hatua ya kumoenda mtu deep love tukifika kipindi kuanzia miezi mitatu endapo tumefanya engagement ya maana chatting, outing, kuoena attention, care nk Mimi mwanmke huyo moyo automatically utamoenda hata penzi likivunjia inachukua muda kuzoea ila kipindi Cha mwanzo lazima niene sipo sawa hata nikiwa kazini hii ndio LOVE inahitaji effort fulani baina ya watu wawili ndio ijijenge BUT LIKE Ni ile approach yako ya mwanamke kwa siku ya kwanza ndio maana siku hio ya kwanza hata huyo mwanamke akukatae, akutukane nk still utakua stable kwasababu Love haijajijenga
So inaanza LIKE then LOVE, LOVE haiji kwa wewe kusema tu nakupenda bali inajijijenga yenyewe na kuivunja kwake kwa maumivu
Kama uko against hiki niambie wewe nikiilize swali, uki meet na mwanamke for the first time nakuanza kumu-approch je kinacho operate Happ ni LOVE au LIKE ???
nipe jibu hapo