The Difference between being “FAT” and dressing a size TOO SMALL.....!

Hujawahi kumkuta mkaka desperate na mwili wake. Utaona huruma. Na shida nyingine ya wakak wanadhani ukivaa mashati makubwa ndo unaficha mwili. Kubanwa ndo mpango mzima mbona?
Wahanga wakubwa wa hii nadharia yako kaka mkubwa nadhani ni wadada...ngoja tuwapishe wajifarague japo kwa uchache tupate kujua ni kwanini hufanya hivyo...
 

nakusubiri urudi ili nikuanzishieni nyote.....wewe Mtambuzi giselle na sosoliso!!!
live kabisa, sitaki vya kwenye kiibodi!:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Last edited by a moderator:
Hii mada hainihusu eti Mzee Mtambuzi???

Ngoja niondoke zangu..... :car:
 
Last edited by a moderator:
Asante Mtambuzi, kumbe si kila anaesema mnene ni kweli ni mnene ila wengine wanakua na nguo tu zinazo wabana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????????????
 
Last edited by a moderator:
Hujawahi kumkuta mkaka desperate na mwili wake. Utaona huruma. Na shida nyingine ya wakak wanadhani ukivaa mashati makubwa ndo unaficha mwili. Kubanwa ndo mpango mzima mbona?

Kwa muonekano mzuri, mwanaume mwenye mwili wenye misuli 'sio nyama uzembe' au mwenye mwili mwembaba 'usio na nyama za nyongeza' ndiye apendezaye kuvaa 'Slim Fit'...

Halafu kitu kingine besti, wanaume wengi hawajui fashion...wao kuvaa ni kusitiri tu maungo
 
sipendi kuvaa nguo kubwa oversize na sipendi kuvaa nguo ndogo ya kunibana mpaka nipate taabu hata kupumua, navaa size yangu, najitambua sitaki kufa na fashion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…