Nikwambie kitu ndugu..Nimeamini ukiona mtu anaimba wimbo mbaya ujue hana mzuri wa kuuimba,nikujibu kwa kifupi tu kama itasaidia lakini
1:uko hivyo(namna unavyojibu nk)kwa sababu bado unaamini hicho unachokiamini(na napata shaka ni 'Yesu' yupi uliyempokea kwa mujibu wa maelezo yako flani humu jf,kama ni 'Yesu' wa huko upande uliko basi kazi unayo...mkimbie huyu aliyetajwa kwenye 2wathesalonike 2:3-4....Ukishakaa mbali na huyo baas maswali yako yote hapo juu yatajibiwa,la vinginevyo tutakesha hapa mkuu.
Kila mtu anaamini anachokiamini.Waroma ni wabishi sana,sijui wamelishwa nini huko vatikan,ni mawakala wa lucifer na ni lazima wakubali ili wapate wokovu,hicho kitabu pia nakala yake ipo vatikan...sijui tutumie lugha gani!wahubiri wanayo kazi kubwa mno.
Mkuu huyu ndo mmoja ya mashetani akiwa toi au vipi..?
Waroma ni wabishi sana,sijui wamelishwa nini huko vatikan,ni mawakala wa lucifer na ni lazima wakubali ili wapate wokovu,hicho kitabu pia nakala yake ipo vatikan...sijui tutumie lugha gani!wahubiri wanayo kazi kubwa mno.
Nimependa ulivyomaliza MWISHO UMEKARIBIA ubarikiwe sana mkuu,pia asante kwa kutambua kwamba tumejazwa chuki tutupiane mawe sisi kwa sisi,Mungu ni mwema sana.Mkuu Da Vinci,huko ulipo naheshimu sana maana najua upo kwenye kuutafuta ufalme wa mbinguni,lakini hebu turud kukumbuka kwamba ni mfalme kostantino(mwabudu sanamu kindaki ndaki)aliyeamua kuongoka kinusunusu na kwa kutumia ushawishi wake kanisa katoliki liliidhinisha sanamu za waabudu sanamu kuingizwa taratibu kanisani ili kuwavuta zaidi wapagani,jifikirie mkuu.Nikwambie kitu ndugu..
Ukatoriki haujaanza kupingwa leo, toka enzi za petro mpaka leo Fransisco bado unapingwa..
Badala ya kuelekeza nguvu kumpinga shetani ninyi mnaelekeza nguvu kanisa katoriki. Shetani mjanja kweli kafanikiwa kuwatumia ili tusiipate neema ya Mungu kwa kumpinga yeye ila tuanze kutupiana mawe sisi kwa sisi. ANYWAY. Kila mtu aamini anacho Amini..
Mwisho umekaribia.
Muunganiko wake unatoka mbali mno kaka,twende pamojaKaka, story inaongea mambo mengine na wewe unakuja na mambo mengine kabisa, Waroma wamefanya nini sasa?
Mkuu,siwashambulii wakatoliki ila nawaeleza ukweli na siwalazimishi kukubali najaribu tu kuwashawiUmeambiwa kimeandikwa na Monk halafu wewe unawashambulia Wakatoliki. Na Pia nani alikuambia nakala yake ipo Vatican?
Hakika.Mungu anasihi kwa vinywa vya wanadamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu huyu ndo mmoja ya mashetani akiwa toi au vipi..?
hahahaaaa aisee!Mkuu huyu ndo mmoja ya mashetani akiwa toi au vipi..?
sijakuelewa hapa mkuu.mfalme kostantino(mwabudu sanamu kindaki ndaki)aliyeamua kuongoka kinusunusu na kwa kutumia ushawishi wake kanisa katoliki liliidhinisha sanamu za waabudu sanamu kuingizwa taratibu kanisani ili kuwavuta zaidi wapagan
SALA NA KAZI,kanisa katoliki liliamua kutupeleka shimoni,imani ya kweli ni YESU wa nazareti,lakini hawa wakatoliki wamejazwa vitu ambavyo leo wanaviamini na hawawezi kubadilishwa,inaniuma sana mkuu lakini sidhani km tutafika huko,sijakuelewa hapa mkuu.
inawezekana unapoint jaribu kufafanua zaidi kidogo labda utaeleweka....
Hahahahaaa ni kweli mkuu,kuna muda walikaa wakatafsiri biblia kwa manufaa yao,ila hawataweza.Ukiisoma bibilia hasa agano jipya kwa umakini utagundua kuingia mbinguni sio vyepesi kama wengi tunavyowaza,,,haya mathehebu yanatufariji kwa maneno ya laini tu,Mfano kusengenya inatosha kumpeleka mtu jehanam.,,
Mkuu Nelson ww unaabudu kanisa lipi...?Nimependa ulivyomaliza MWISHO UMEKARIBIA ubarikiwe sana mkuu,pia asante kwa kutambua kwamba tumejazwa chuki tutupiane mawe sisi kwa sisi,Mungu ni mwema sana.Mkuu Da Vinci,huko ulipo naheshimu sana maana najua upo kwenye kuutafuta ufalme wa mbinguni,lakini hebu turud kukumbuka kwamba ni mfalme kostantino(mwabudu sanamu kindaki ndaki)aliyeamua kuongoka kinusunusu na kwa kutumia ushawishi wake kanisa katoliki liliidhinisha sanamu za waabudu sanamu kuingizwa taratibu kanisani ili kuwavuta zaidi wapagani,jifikirie mkuu.