The Devils advocate

The Devils advocate

Wacha nikuulize swali unaweza leta ‘consolidated accounts’ ya hizi serikali ilizoamua kuunganisha.

Wamekupa ‘modus operands’ ya huo muungano .

Au umepewa hadithi na kusema serikali yako ina miakili mingi sana kuunganisha hizo taasisi bila ya kujali kujua huo ufananisi wa muungano unafananaje.
Wangekutumia uboreshe hayo mambo kama wangebaini una akili na uwezo huo.Wewe bishanabishana humu JF hadi keshokutwa asubuhi.Akili nyingi huondoa ...!
 
Wangekutumia uboreshe hayo mambo kama wangebaini una akili na uwezo huo.Wewe bishanabishana humu JF hadi keshokutwa asubuhi.Akili nyingi huondoa ...!

Msukumo wa kuanzisha hii mada ilikuwa hiyo post na malalamiko yake.

Uwezi kuanzisha mada na hesabu ambazo hazina kichwa wala miguu kibiashara halafu utake watu wajadili.

Time to deal with other errands.

Good afternoon.
 
..."with other errands"...(?)Kasome magazeti kijiweni acha mbwembwe!
 
Back
Top Bottom