The Devils advocate

The Devils advocate

Unaweza ukawa sahihi lakini pia usiwe sahihi. Vyote unazodhani uko sahihi zilifanyiwa tafiti na watu mbalimbali na kuziwekea framework kuwa ndiyo miongozo yenye uhalisia.
Pia, kuna watu wanaweza kuzifanyia tafiti kwa kuziboresha zaidi au kuzipa challenge na hatimae zikaonekana kuwa hazina uhalisia.
Rejea Law of Cooling iliyokuwa challenged na Mgamba kule Tanga, hivyo nakupa taadhari usione upo sahihi wakati wote na wengine hawapo sahihi.

Kuna wengine wanaweza kuwa sahihi kutokana na uhalisia wa mambo wanayokutana nayo katika mazingira na maisha yao ya kila siku.
I don’t know what you are on about

Uwezi kuwa sahihi scientifically without enough experiment hata kwenye hiyo argument ya mgomba (you have to do enough tests for whatever you are argument to be accepted).

Mimi sina shida na academic arguments, hila nonsense ndio zinakera; mtu anaandika hoja ambazo hazina academic merit zozote halafu zinakuwa accepted huko sasa ndio kujazana ujinga.

Good morning, nita deal na hii mada baada ya kupumzika.
 
First degree inakupa fundamental knowledge of your discipline, necessary skills to perform, tasks,, ability to write an argument that’s about. Hakuna kitu kingine kipya utajifunza masters and PhD but more specialisation tu.
Elimu yetu ni copy and paste
 
Huna uwezo wa kujadili mada yangu

Subiri siku ukiandika kwenye mada utakayoanzisha nikipita nikasoma ujinga nakutwanga kwa upuuzi ndio mantiki ya huu uzi wangu kutochekea kusoma ujinga from now on .
Sasa inakuwaje unamjibu mtu asiye kuwa na uwezo?
Hala hala ndugu,pengine mie ni baba yako au mume wa mama yako.
Ahsante na karibu.
 
Elimu yetu ni copy and paste
Even if you copy and paste; the marking assessment is based on applying that knowledge.

Unaweza copy and paste on mechanics za ‘merger and acquisition. Sasa kama bank ya kilimo na wakala wa mbolea (mwenye asset value ya 700’billiion na itaendelea kupokea ruzuku of god knows how much).

Hapo sasa as an accountant inataka akili zako kuelewa how the acquired entity shares are treated in the statement of financial position maana clearly biashara inaenda kuwa ya kibenki (finance) how you will treat assets za mbolea zinazoingia bank they can’t be shares; hila serikali inahitaji marejesho (its a long story kuelezea how the government lost billions in that merger and future billion which will amount to trillions) ain’t nobody cares at heart,,that’s me.

Na huu ndio msingi wa hii thread nimesoma ujinga wa kutosha kwenye hili jukwaa imefika hatua kwa yale nayojua ni upumbavu won’t tolerate anymore for my part.
 
Hivi watanzania mshakaa mkajiuliza what happens kwa taasisi zilizokuwa zinapokea hela ya serikali kwa malengo ya kuzirudisha, hii merger zile hela zitakuwa treated vipi na zitarudi vipi.

Kama huna majibu ndio kiwango chako cha ujinga, watu watapiga mabillioni katika hii biashara ya merger and acquisition.

We are just a bunch of stupid people, tunaosindikiza mafisadi.

Watu wanaenda poteza hesabu za hasara hapo na kufungua njia rahisi ya kuchoka hela.
 
Japo niliaga wiki kadhaa na hiyo bado ni nia yangu hila dunia imesogea sana.

Binafsi sina shida ya kukosolewa, but also nimechoka kusoma ujinga.

Asilimia kubwa ya watu awawezi kuandika hoja; it has nothing to do with grammar but the merit of the argument.

Washindi wa mashindano ya JF hata hayo mambo yenyewe hawana uelewa nayo mpana.

Kama mshindi wa mwaka huu hata hayo maswala yenyewe ya kodi hajui.

Sasa ni hivi nimechoka kusoma ujinga na kupeana likes zenu za ujinga katika mambo ambayo watu hawana ufahamu nayo.

To hell, kwa kweli inachosha kusoma ujinga halafu mtu ana likes mia; wakati ni nonsense tupu.

That’s me

Niki kutwanga uelewe either ujibu concerns zangu; au kaa kimya.

The nonsense I read is beyond me.

Hivi unawezaje kuandika kitu ambacho ukielewi na ukajiita msomi the audacity.

That’s my message if you see, hata kama una likes mia kama upuuzi nakutwanga tu.
awawezi ndiyo nini
 
Even if you copy and paste; the marking assessment is based on applying that knowledge.

Unaweza copy and paste on mechanics za ‘merger and acquisition. Sasa kama bank ya kilimo na wakala wa mbolea (mwenye asset value ya 700’billiion na itaendelea kupokea ruzuku of god knows how much).

Hapo sasa as an accountant inataka akili zako kuelewa how the acquired entity shares are treated in the statement of financial position maana clearly biashara inaenda kuwa ya kibenki (finance) how you will treat assets za mbolea zinazoingia bank they can’t be shares; hila serikali inahitaji marejesho (its a long story kuelezea how the government lost billions in that merger and future billion which will amount to trillions) ain’t nobody cares at heart,,that’s me.

Na huu ndio msingi wa hii thread nimesoma ujinga wa kutosha kwenye hili jukwaa imefika hatua kwa yale nayojua ni upumbavu won’t tolerate anymore for my part.
Ndiyo maana ya jukwaa tunashindana kwa hoja na kuelimishana usitake mawazo yako pekee tuyaheshimu pia chambua na ya wengine, maana ya hili jukwaa ni debate mkuu
 
Essay/Reposts is usually 30% of the marking (because you have all the time in the world grammar constitutes 5% of the marking) exams is 70% of the module they don’t care on spelling, grammar and other nonsense, but your arguments.

Hizi obsession zenu na minor issues ndio zinaonyesha uwezo wenu.

Education is about the ability to present an argument, sio H au A umetumia mahala sahihi.

Na watanzania wengi can’t argue academically.

Huo ndio ukweli wenyewe
Unaelewa maana ya "nnje ya hoja yako"!!??
 
Kesho kuna tamasha watakuwepo misomisondo karibu

Wasafi wiki ijayo watakuwa na tamasha lao pia wasanii kibao watakuwepo njoo nayo

Ova
 
Unaelewa maana ya "nnje ya hoja yako"!!??
awawezi ndiyo nini
Matokeo yake mkipelekwa kwenye international tribunal inakuwa mashudu kama wale wataalamu walioshia kufanya nchi itandikwe deni la billioni 129 kwa kesi ya kushinda.

Msizoeshe vichwa vyenu kuzoea ushindi wa hoja nyepesi.

Like I stated before learn to analyse, evaluate or discuss arguments; vinginevyo unatwangwa nje ya Tanzania, kwa sababu ya kujizoesha ubishi wa mambo mepesi,
 
awawezi ndiyo nini
Haya ndio mambo yetu tuliyozoea, mahakama inatumia week nzima kujibizina ukosefu wa kujaza form; na kuna kesi zinaamuliwa kwa upuuzi huu. Oho huyu kakosea kujaza form hana kesi.

That nonsense doesn’t work in international courts, huko ni legal arguments tu za kesi husika mbele ya majaji ndio zinakupa ushlndi.

Kama nchi inabidi tujirekebishe, tusipende haya mambo mepesi mepesi the world doesn’t work that way.
 
Matokeo yake mkipelekwa kwenye international tribunal inakuwa mashudu kama wale wataalamu walioshia kufanya nchi itandikwe deni la billioni 129 kwa kesi ya kushinda.

Msizoeshe vichwa vyenu kuzoea ushindi wa hoja nyepesi.

Like I stated before learn to analyse, evaluate or discuss arguments; vinginevyo unatwangwa nje ya Tanzania, kwa sababu ya kujizoesha ubishi wa mambo mepesi,
Jibu swali awawezi ndiyo nini? Don't include each and everyone if you are not arguing with someone else please don't include,we are over or above 60m.
 
Jibu swali awawezi ndiyo nini? Don't include each and everyone if you are not arguing with someone else please don't include,we are over or above 60m.
In the context of my message how does ‘awawezi’ and. ‘hawawezi’; alter the meaning.
 
Binafsi naona msomi asiye na akili radical and selfish
 
Jamaa una majidai kama@Mayorquimby wa kwenye katuni.🙏🤣🤣🤣🤣🤣
Wacha nikuulize swali unaweza leta ‘consolidated accounts’ ya hizi serikali ilizoamua kuunganisha.

Wamekupa ‘modus operands’ ya huo muungano .

Au umepewa hadithi na kusema serikali yako ina miakili mingi sana kuunganisha hizo taasisi bila ya kujali kujua huo ufananisi wa muungano unafananaje.
 
Back
Top Bottom