The demise of the mighty CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The demise of the mighty CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kinetiq01, May 9, 2009.

 1. kinetiq01

  kinetiq01 Member

  #1
  May 9, 2009
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mates, let's talk about politics. Tanzanian politics to be specific. Having taken a passive role in Tanzanian politics, most of us have witnessed the once mighty CCM going into a downward spiral, for all sorts of wrong reasons.

  Studying the dynamics of Tanzanian politics, you'll come to conclude that CCM as a ruling party for over 30 years has failed. The policies are a complete mess. The rule of law is almost non-existent.

  Tanzania, our country is failing. And, at the moment it looks like we're all affected by the way or country is being run.

  From the peasant in the rural areas whose produce can't fetch sensible prices, to a civil servant who can't afford reasonable basic needs in the city. Maisha ni magumu sababu ya uongozi mbovu.

  Extinction
  The CCMs are surely going into extinction, they'll evolve into much more advanced entities soon, maybe 10 to 15 years from now? I guess my prediction is inaccurate, but at least it's somewhat realistic.

  CCM, Chama Cha Mapinduzi, as it once was - served the purpose of care-taking, and eventually ceased the chance to lead and rule for life.

  The oblivion of sleep
  Without naming names, CCM is increasingly becoming powerless, leaderless and rudderless. All we are seeing is the emergency of "powerful individuals" , dodgy "waheshimiwas" whose objectives are slowly but clinically killing CCM. This bunch of influential crooks enjoy the best of the country as they run the show by proxy.

  In recent years, CCM branches have sprung up in many countries, while somehow declining within Tanzania. These so called CCM members outside Tanzania [with no right to vote - unless the rules are changed for them] are mere opportunists, or to describe the in a different way, they are jumping into the bandwagon. Their support, desire and drive will diminish with time. They are just wannabes.

  Uongozi mbadala
  The critical part of this phenomenon, one could argue is what's the alternative to CCM? Or in other words, who do we turn to for leadership after CCM is gone like KANU in Kenya or Zambia's UNIP? I suppose the voters tend to figure that out pretty quicky, given the conventional wisdom is to vote for the most popular candidate or party.

  At the moment the alternatives are not quite strong, the reasons are clear. Most of them are not genuine opposition politicians, and those who happen to be real are misguided and not willing to fight tough battles with CCM. They are opposition by label or tag, not by what they stand for.

  These drawbacks will sort themselves out as more and more common people realise how much they waste their votes by electing CCM for all those years with no progress whatsoever. Alternative leaders exist already, they just are reluctant to come out and lead in different uniforms other than kijani, njano na nyeusi.

  Barring renaissance within CCM, which could return as CCM mark II, in a new guise, I believe the next generation of Tanzanian political leaders will be much more responsible and aggressive.

  Dira mpya
  They will regard other countries as true opponents for export markets, and treat local opposition politicians as partners in development of our country. They will spend more time competing against Kenya, Rwanda, Uganda or South Africa; than spending billions of shillings to win a by-election while holding a 99 per cent majority in parliament with a popular president at Magogoni.

  Talking about Tanzanian politics, how do we define our political ideologies? Are we all in the left? Actually, that could be another factor we haven't looked into as a stumbling block. We gotta define this clearly before we start calling names.

  In a nutshell, Tanzania will bounce back from years of slumping leadership. Tanzania will prevail, with the same mix of population, but a different set of leaders, policies, vision and patriotism.

  We need leaders with balls of steel, leaders who can afford to say no to the forces of darkness. Surprisingly we know people who can do that job, but when it comes to the ballot box drill [mwakani uchaguzi] we seem to listen to our hearts na kusahau maumivu kwa muda. Anyway, tuko pamoja, Tanzania ni yetu.
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  dalili za CCM kun'goka madarakani mm sijaziona Tanzania bara, kwasbabu bado watz (b) wanaishi kufuata wosia wa baba wa taifa,"chama ni CCM tu" na "viongozi bora watatoka CCM", we usione kuna kelele saivi za mafisadi na nn sjuwi... ngoja ifike 2010 uwone, watu watakavyojisahaulisha, humuhumu JF kuna watakaochukuwa fomu kugombea kupitia CCM, seuze hao masikini wenzangu watakao hongwa kanga, fulana,vitambaa na hela ya kulewea, baaas kwisha jeuri yake, watu hao wanachkua nchi, tunabaki kupiga makelele na kusuffer kwa miaka mitano mengine.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwa hilo nakubaliana na wewe Julius. Watanzania ikija kwenye microphone na T.V. tunaongea sana sijui ili tuonekane ila ikija kwenye siri ya ballot box mambo yanakua tofauti. Mimi ninacho ona tatizo ni maybe one of two:

  1. watu wana jidai CCm siipi kura tena oh CCM nini kumbe ni wanafiki tu ikija wakati wao wanai pigia CCM. Bora kuwa wazi kuliko kufanya tofauti na unavyo hubiri.

  2. Hawa wote wanao ipigia kelele CCM ikipiga wakati wa kupinga kura wao hawapigi sijui waki tegemea mazingaobwe kutoka wapi.

  Hili swala la kupigia kelele CCM halijaanza leo ila shangaa bado wapo madarakani. Visingizio ni kuibwa kwa kura. Angalieni Kenya, Kanu ilikua na nguvu ile ile kama CCM mbona waliweza kuondolewa?

  TATIZO WATANZANIA IKIJE KWENYE KUONGEA HAWAJAMBO ILA UTEKELEZAJI SASA UTA SHANGAA.

  Jamani there is no point kuipigia kelele CCM kila leo kama at the end of the day utaishia kuwa pigia kura au kutokwenda kupiga kura dhidi yao.

  Wewe mgonjwa na unajua dawa ni nini lakini badala ya kunywa dawa unaomba tu kila siku uponywe. Watanzania mnai lalamikia sana CCM dawa yake si mnajua ni kuwaondoa madarakani? SO now stop talking the talk and walk the walk for a change.
   
 4. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mighty? CCM? I wouldn't put those two words together. The mighty delivers, CCM never delivered on anything.
   
 5. H

  Hondo Member

  #5
  May 9, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri ccm kamachama haina tatizo .Tabu inakuja kwa wagombea feki walio jaa kwenye chama , pia hakuna wagombea wazuri upande wa wapinzani .Walio wazuri sio wepesi wa kukubalika kwenye jamii ya chama kwani vyama vimejaa mafisadi kwa maana hiyo ili upitishwe mpaka ukawe mgombea lazima utumie ufisadi kwahiyo unakuta kiwanja kinabaki kwa mafisadi hapo ndio mpiga kura anashindwa anajikuta anachagua fisadi .Ni shida kwelikweli inatakiwa utaratibu ubadilishwe.
   
 6. M

  Mtuwamungu Senior Member

  #6
  May 9, 2009
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Moja, Hawatekelezi wasemayo kwa sababu wako nje ya nchi. Pili, siamini kuwa CCM inapata ushindi kwa kupigiwa kura na wananchi. Piga ua CCM wanaingia madarakani kwa kuiba kura. Hata wale wanaoipigia kura si kwa sababu wanaipenda bali kwa sababu wanaogopa ubabe na vitisho vya chama kupitia kwa vyombo vya usalama.
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135


  1. Hapa naongelea walewaliopo nchini na kuweza kupiga kura mkuu sasa sijui haukunielewa labda.

  2. kama nilivyo sema mwanzo hata Kenya Kanu ilikua kama CCM. If they can do it we can do it. Marekani wenyewe kuliibiwa kura 2000 sembuse TZ. Hapa cha kufanya ni wananchi kukomaa. They can only rob so much but wakiiba sana it is easier kugundulika.

  3. Kwenye chumba cha kupigia kura ni wewe na Mungu wako. Hata wakiku force kumchagua mtu hawawezi kuingia na wewe kwenye chumba cha kupigia kura. Ukini lazimisha niipigie kura CCM nini kina nizuia kuto kuipa kura nikiwa mwenyewe kwenye kupiga kura? Na hata nikitoka niseme nimeipigia CCM wakati nadanganya nani ata thibitisha?
   
 8. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Tatizo sio CCM kama chama, bali ni baadhi ya viongozi wabovu wachache ambao wapo hata upinzani, ndio maana mshauri wa uchumi wa Mwinyi anamshambulia Mengi kwa kuwasema mafisadi, what a big joke!

  FMEs!
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  It is true tatizo si CCM kama CCM bali ni baadhi ya wanachama wenye nguvu na madaraka ndani ya chama. Ni kweli hata upinzani kuna mafisadi. Lakini hauoni kwamba mfumo mzima wa CCM katika kuchagua viongozi wao haswa kwenye uraisi una saidia kupata viongozi mafisadi? Kama mtu ndani ya chama ni lazima uwe na pesa kupata madaraka ya juu huoni hilo ni tatizo? Maana hata JK ambae as far as we know hajaiba alibidi awatumie wakina Lowasa kushinda. Sasa huoni mazingira hayo ni vigumu kupata kiongozi bora toka CCM? Maana ni inabidi mtu awe na pesa au aingizwe na wenye pesa kisha awe mtumwa wao. The question to ask yourself is, from the current format in CCM do you think it is easy to get a good leader? Even if they are there does the environment within the party give them an equal opportunity to gain office like their counterparts with enough funds? Swala si kwamba viongozi bora CCM hawapo swala ni je kwa mfumo wa CCM wanaweza kuji tokeza?

  Kwa upande wa upinzani sikatai hata kule kuna mafisadi wake lakini je kule kuna nafuu? Because when you don't have a choice between good and better then you just have to make a choice between worse and far worst.
   
 10. A

  AmaniKatoshi Senior Member

  #10
  May 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
   
 11. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  mighty on stealing the country and make wananchi fools
   
 12. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Aliyekwambia kuwa Jakaya hajaiba nani? Hayo mahekalu anayojenga Msoga fedha kapata wapi; au ndio mapato yake toka kwenye biashara yake ya kuuza mananasi ya Kiwangwa? Huyu jamaa katuibia sana madini yetu akishirikiana na Sin Clair!!
   
 13. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  We dont have alternative to CCM, The only way to go is to reform CCM and the rest shall come
   
Loading...