The Death of Prof. Malima 1995

The Death of Prof. Malima 1995

Status
Not open for further replies.
Huna kitu kingine cha kuandika? Uzushi mtupu
 
Unamshabikia Malima?Inavyoonyesha nyinyi mnadhani aliuawa wakati alikufa kwa mapresha yake baada ya kutoka Mecca na kwenda London ambako alitaka kwenda kulipia Landrover 200 alizokuwa ameagiza,alipofika bank akakuta Kikwete ameshapita na kuchukua hela zote alizokuwa amewaibia Watanzania.
 
ni meiskia sana.
 
Usimsingizie Kikwete!

Ukweli ku kwamba alikufa kwa pressure baada ya kukuta account yake imekaushwa na mwanaye aliyemwamini na kumfanya signatory. Kipindi hicho mwanaye huyo alikuwa akisoma huko London na alikuwa na maisha ya anasa kupindukia akiwa ni pamoja na kumiliki magari ya kifahari ambayo yalishangaza wengi wakati huo.
 
Unamshabikia Malima?Inavyoonyesha nyinyi mnadhani aliuawa wakati alikufa kwa mapresha yake baada ya kutoka Mecca na kwenda London ambako alitaka kwenda kulipia Landrover 200 alizokuwa ameagiza,alipofika bank akakuta Kikwete ameshapita na kuchukua hela zote alizokuwa amewaibia Watanzania.

Usimsingizie Kikwete!

Ukweli ni kwamba alikufa kwa pressure baada ya kukuta account yake imekaushwa na mwanaye aliyemwamini na kumfanya signatory. Kipindi hicho mwanaye huyo alikuwa akisoma huko London na alikuwa na maisha ya anasa kupindukia ikiwa ni pamoja na kumiliki magari ya kifahari ambayo yalishangaza wengi wakati huo.
 
Mohamed Said mbona kila uzi wako ni udini tu? Sidhani kama kukaa na kulalamika kuhusu dini fulani imependelewa au dini fulani imeonewa kutaleta maendeleo yeyote nchini. Au wewe ni katika wale wanao faidika na hela za Saudi Arabia?
 
Mohamed Said mbona kila
uzi wako ni udini tu? Sidhani kama kukaa na kulalamika kuhusu dini
fulani imependelewa au dini fulani imeonewa kutaleta maendeleo yeyote
nchini. Au wewe ni katika wale wanao faidika na hela za Saudi
Arabia?

kumbe hujui kwamba hawa watu wanaishi maisha mazuri sana kwa kazi hii? wanachofanya ni kuchochea udini na pawe na vurugu na maandamano kisha wanapeleka ripoti kwa wafadhili arabuni kwamba kuna mfumo unawaonea wanahitaji misaada ili kupambana nao, hii ni ofisi ya mtu usishangae sana
 
Usimsingizie Kikwete!

Ukweli ni kwamba alikufa kwa pressure baada ya kukuta account yake imekaushwa na mwanaye aliyemwamini na kumfanya signatory. Kipindi hicho mwanaye huyo alikuwa akisoma huko London na alikuwa na maisha ya anasa kupindukia ikiwa ni pamoja na kumiliki magari ya kifahari ambayo yalishangaza wengi wakati huo.

Mwanaye gani huyu, aliyezima wenzake mapesa na ku-fake kaibiwa pale Morogoro?

Hapana. Usimsingizie huyu brazamen.
Ukweli ni kuwa Serikali ya Mwinyi ndio ilimtuma Kikwete kwenda ku-freeze account yake. Hiyo ninakupa ni kwa uhakika asilimia 100. Hata Moh Said anajua haya, ila hawezi kuwashambulia Jakaya na Mwinyi, you can rightly guess why.
 
Unamshabikia Malima?Inavyoonyesha nyinyi mnadhani aliuawa wakati alikufa kwa mapresha yake baada ya kutoka Mecca na kwenda London ambako alitaka kwenda kulipia Landrover 200 alizokuwa ameagiza,alipofika bank akakuta Kikwete ameshapita na kuchukua hela zote alizokuwa amewaibia Watanzania.

Kwa hiyo Kikwete analipa fadhila kupitia kwa mwanaye?? Ama kweli siasa!!! Hata kifo cha babako unakisahau kisa hela na madaraka!! Bora ningekufa maskini!!! Issue nzima inajulikana kabisa waliohusika katika process ya kutaifisha zile hela alafu eti wanaingizia aliuawa!!! Chmia tumbo hawa ni hatari sana mkuu lincolin!!
 
Wanajamvi,

Post ya mwisho ya Prof. Malima haikuondolewa na hii ndiyo sababu
iliyonitia moyo niweke post hii ambayo kwa muktadha wetu hapa ni
ya mwisho.

Hiki ni kitabu kizima...
Mkipenda tutaendelea na kumbukumbu za Malima Insha Allah.
Mkuu unaonaje ukiunganisha kitabu kizima then utuwekee hapa tuchote?? Wengine hatukuweza kufuatilia chapters 1 to 5.
 
Mohamed said,Udini hautakusaidia sana.Wenzako katika alliance yenu walau wamefanikiwa kidogo kwa sababu walijali elimu.mmoja akawa mbunge na waziri ingawa karibuni aliishia kubaka binti aliyepaswa kumlea.
Mwingine ni mkurugenzi mtendaji wa shirika la umma,kwa udini wake analaumiwa kuajiri 90% waumini wa dini yake na ni ruksa kwa mfanyakazi kwenda ofisini na malapa.
 
Anafuata mafundisho ya Allah wa Boko Harama, Alqaeda and the likes

Ukitaka twende hivyoo kwa kukashifiana hatutafika mbali hata kidogo,

La kama huna la kuchangia si bora ukatoka au ukakaa kimya??

Unataka kuleta lugha chafu ili kujenga taharuki watu wasijifunze historia hapa?

Ukiambiwa nyinyi mnaofungisha harusi hadi za mwanadamu na mbwa mtasemaje??
 
Mohamed said,Udini hautakusaidia sana.Wenzako katika alliance yenu walau wamefanikiwa kidogo kwa sababu walijali elimu.mmoja akawa mbunge na waziri ingawa karibuni aliishia kubaka binti aliyepaswa kumlea.
Mwingine ni mkurugenzi mtendaji wa shirika la umma,kwa udini wake analaumiwa kuajiri 90% waumini wa dini yake na ni ruksa kwa mfanyakazi kwenda ofisini na malapa.

Hivi nyinyi watu,hasa mnaposema udini huwa mna maana gani haswa??

Kwanin islamophobia inawaathiri sana??

Yan mtu aache kueleza kile anachokifaham eti kwa kuhofu yeye kuitwa mdini au muislam??ukitakaje sasa??

Huyo mkurugenz mkuu unaemsema tunajua unamaanisha RAMADHANI DAU,sasa kwa taarifa yako ramadhani dau hajateuliwa na kikwete pale

Kateuliwa na mkristo mwenzako mkapa mara baada ya kuona ufanisi wake,

Kuhusu namba ya waislam na wakristo NSSF kila mtu anajua wakristo wapo wengi pale,au kama unataka twende tukaendeshe sensa,madhambi makubwa ya ubaguz ndan ya taifa hili mnayafanya nyinyi,wakiyafanya waislam yenye haki mnakimbilia kulalama

NSSF inafanya vizur so far,ila kwa kuwa kwa sasa anaeongoza ni muislam na waislam wenye elimu zaao wanapata ajira pale mmeanza lawama,mkitakaje sasa??

Mfanye peke yenu pale??kwn nani kakuambia NSSF ni shirika la KANISA KATOLIKI??

Achen mambo yenu nyinyi
 
Mwanaye gani huyu, aliyezima wenzake mapesa na ku-fake kaibiwa pale Morogoro?

Hapana. Usimsingizie huyu brazamen.
Ukweli ni kuwa Serikali ya Mwinyi ndio ilimtuma Kikwete kwenda ku-freeze account yake. Hiyo ninakupa ni kwa uhakika asilimia 100. Hata Moh Said anajua haya, ila hawezi kuwashambulia Jakaya na Mwinyi, you can rightly guess why.
Nanren,
Hivi serikali inaweza kutuma mtu kwenda nchi nyingine na ku-freeze account ya mtu kirahisi namna hiyo?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom