Jiwe alikuwa ni laana kwa nchi. Wanyonge bado mpooooSa jit.u kama wewe likite.kwa na kuch.injwa nani mwenye ako vizuri upstairs atacare? Pathetic...JPM atawatesa sana.
You gotta show him/proof the so called "polluted vapor", All what he said co related to what happened during the dark days of Magufuli.What I have realized from you is the struggle for trying your level best to showcase what you’ve so far been able to encounter in your journey to learning English vocabularies. Kudos to you homie for that specific aspect, other than that the entire content you have just spit is filled with all forms of polluted vapor.
Would you have done any different had you been in his position?To sum up, there are rifts of great security threats that occurred in our country during his tenure as CDF. For that matter, he offered nothing special rather than protecting Interests of his master.
MzilankendeHakuna mtu aliyeharibu nchi hii kama Jiwe ikiwa ni pamoja na kuirudiasha nchi enzi za ujima. Kaua watu wengi sana ukiachilia mbali uongo wake pamoja na wizi. Thanks God kwa kutuondolea lile jibwana
Unajua kazi za kijeshi alizofanya CDF? Mpaka useme unampa credit tu wakati Rais Samia anaingia madarakani?Imawezekana kwingine hakufanya vizuri, ila alifanya vizuri kwenye ile ishu ya baadhi ya watu ambao hawakuamini kama Samia Suluhu Hassan atapewa nchi na kuwa Rais. Baadhi ya watu walitaka Katiba ipindishwe ili Samia asiwe Rais, general Mabeyo akasema No. Lazima Katiba ifuatwe! Hili ndilo lililompa credit gen Mabeyo.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Sijaelewa hapa mkuuWhat I have realized from you is the struggle for trying your level best to showcase what you’ve so far been able to encounter in your journey to learning English vocabularies. Kudos to you homie for that specific aspect, other than that the entire content you have just spit is filled with all forms of polluted vapor.
Asante kwa maelezo mazuri sana zyaliyojaa ukweli yasiyotia shaka.Imawezekana kwingine hakufanya vizuri, ila alifanya vizuri kwenye ile ishu ya baadhi ya watu ambao hawakuamini kama Samia Suluhu Hassan atapewa nchi na kuwa Rais. Baadhi ya watu walitaka Katiba ipindishwe ili Samia asiwe Rais, general Mabeyo akasema No. Lazima Katiba ifuatwe! Hili ndilo lililompa credit gen Mabeyo.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Matusi haya boss. Kwann usijikite kwenye kujibu hoja? Au hoja imekuzidi amri na akili?You're Hopeless and a Hypocrite.
Nonsense.Matusi haya boss. Kwann usijikite kwenye kujibu hoja? Au hoja imekuzidi amri na akili?
Ni vema ukawa unashinda Facebook huko ambako wanakupa sifa za hovyo.
So was Samia and everyone else whom are currently still here...... Did they Care ? (Not for me to judge) but am just reminding you if you have enough blames to spread around you should not pick and choose but rather spread it all over the place from the current commander in chief down to all others who have now become cheerleaders...What about when Magufuli was alive?
Magufuli wanted and had started to turn this country to be authoritarian and gen. Mabeyo was there to help and see this happening.
Magufuli paralyzed all systems and processes of democracy in the country gen. Mabeyo didn't care.
Alimuua nani, weka ushahidi wa hilo hapa ili na sisi tuamini alimuua naniHakuna mtu aliyeharibu nchi hii kama Jiwe ikiwa ni pamoja na kuirudiasha nchi enzi za ujima. Kaua watu wengi sana ukiachilia mbali uongo wake pamoja na wizi. Thanks God kwa kutuondolea lile jibwana
Ni bahati ilimwangukia, gen Mabeyo atakula maisha sana kipindi hiki cha utawala wa mama Samia.Asante kwa maelezo mazuri sana zyaliyojaa ukweli yasiyotia shaka.
Na ndiyo maana Samia na wafuasi wake wanampa sifa nyingi sana.
Anza na kumtafuta AzoriAlimuua nani, weka ushahidi wa hilo hapa ili na sisi tuamini alimuua nani
Umejibu nini sasa mshamba mkubwa, una ushahidi wa muuaji ni yeye, swala kifo kuuawa ni matukio mangapi yanatokea duniani kote? Swala la fulani alimuua fulani ni mihemko yenu tu ya kisiasa au kikanda na halina ukweli wowote zaidi ya watu kama wewe kuropoka tuAnza na kumtafuta Azori