.
Mkuu HorsePower unajua huyu jamaa kingfishalikuwa anaelekea kule jukwaa la Jokes/Utani sasa gari yake ikaisha mafuta kwa hiyo akaona aimwage hapa kwenye jukwaa hili la MMU that's why .
Niliposti mahali sahihi,nina maana kuwa mtafakari juu ya majibu yaliyotolewa,ni halali kuamini kuwa ndoa ni mahali pa ugomvi?,wengine wanasema ndoa ndoano.