The construction of the Africa's tallest tower " The Pinnacle Tower" has resumed again today after long battle with court cases

Timo25

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
260
500
The Project to build Kenya’s tallest building at Upper hill Nairobi seems to have resumed after long battle with court cases over its construction. According to workers at the site,stated that work has officially resumed and expecting more series of activities in the coming months.

1602596639240.png
1602596691310.png
1602596810888.png
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,822
2,000

Timo25

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
260
500
Aisee huya jamaa mbona anajenga protection barrier? Ni wa kufanya usafi !
hao ni wafanyikazi wanajenga hizo barriers kama desturi tu ya kawaida kwa site panapo jengwa jumba ama project fulani..kabla kazi haijaanza..hizo bariers zilikua zimeanguka sasa wenyeji wamerudi kazi ili wamelize hilo project
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,822
2,000
hao ni wafanyikazi wanajenga hizo barriers kama desturi tu ya kawaida kwa site panapo jengwa jumba ama project fulani..kabla kazi haijaanza..hizo bariers zilikua zimeanguka sasa wenyeji wamerudi kazi ili wamelize hilo project
leta evidence mzee hapo ni watu wanajenga protective barrier tena kwa mabanzi! ☝️ 😂😂☝️
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,822
2,000
boss jipe shughuli...najua unaskia vibaya na wivu..unadhani kenya haisongi mbele? kama unataka evidence panda gari ama ndege ukuje nairobi ujionee
wacha desperation ujenzi would mean several people hapo ni kibarua anajenga protective barrier tena using mabanzi after media complained!
 
Timo25

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
260
500
leta court vedict inasema their dispute imeisha!
mimi nilikua shughuli zangu na nikapata watu kwa site..nikawauliza kama kuna issue wakaniambia kazi ya ujenzi umeanza tu leo na pia court case ilishamalizwa..na siku zijazo kazi itakua mingi..unaeza pata iyo kesi waliamua waimalizie nje ya court kwa maana mwenye alikua aliwapeleka wenyeji hilo jumba kwa koti alikua ni mganda..na ilisemekana hilo shamba ilikua ni ya kenya railways..na huyo mganda alipewa tu kitambo na rais mstaafu moi..but kumbuka kenya railways hivi karibuni wamekua wakiyachukua mashamba yao zote uku kenya wale walionyakuliwa..wacha tuone hii wiki venye mambo yameenda but nina uhakika kazi imeanza tena
 
sijakuelewa andika kwa kiingereza!
 
game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
8,340
2,000
The Project to build Kenya’s tallest building at Upper hill Nairobi seems to have resumed after long battle with court cases over its construction. According to workers at the site,stated that work has officially resumed and expecting more series of activities in the coming months..
View attachment 1598895 View attachment 1598896 View attachment 1598897
That tittle 'Tallest in Africa is Outdated '
Misri na SA walishazinda majengo marefu zaidi ya Hilo na mengine yameshakamilika
Update your head.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom