The construction of the Africa's tallest tower " The Pinnacle Tower" has resumed again today after long battle with court cases

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
16,596
2,000
That tittle 'Tallest in Africa is Outdated '
Misri na SA walishazinda majengo marefu zaidi ya Hilo na mengine yameshakamilika
Update your head.
Hakuna nyumba refu kuliko hiyo South Africa 😂 😂 😂
Alafu unajua kuwa hakuna nyumba ya Tanzania yenye iko top 10 tallest buildings in Africa?
 

vulcan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,744
2,000
That tittle 'Tallest in Africa is Outdated '
Misri na SA walishazinda majengo marefu zaidi ya Hilo na mengine yameshakamilika
Update your head.
:D :D .... i see you have taken your morning cup of Bile Juice
 

Son of Gamba

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
3,932
2,000
When completed the Pinnacle Towers will be the second tallest building in Africa after Egypt's Iconic Towers.

The Pinnacle tower will have 70 stories while the Iconic Towers Egypt has 80 stories.
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,406
2,000
Usijisahaulishe kuna ngoma hii haps inakuja 👇

Screenshot_20210825-153403.png


Screenshot_20210825-153038.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom