_ It was never my intention kumfurahisha mtu wala kuonyesha umahili wangu wa kutumia lugha yeyote.Hua sioni sababu ya mTanzania kuandika KISWAHILI akichanganya na kingereza..haisaidii na haina maana yoyote,na watu wa namna ya uandishi huu ndo wale walioendelea kuifanya Afrika kua masikini mpaka leo.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Unachopinga ndio uluchokifanya hapo mwishoni.Hua sioni sababu ya mTanzania kuandika KISWAHILI akichanganya na kingereza..haisaidii na haina maana yoyote,na watu wa namna ya uandishi huu ndo wale walioendelea kuifanya Afrika kua masikini mpaka leo.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Nimegundua mwili unatukwamisha sana wakati mwingine._ Akili inauwezo wa kuwa sehem yeyote wakati wowote lakini mwili hauwezi, kama mwili usingeweka kizuizi inamaanisha binadamu angeweza kuwa sehem yoyote ile kwa wakati wowote ule kimwili na kiakili.
_ Bila kizuizi cha mwili binadamu angeweza kucommunicate na kitu chochote au mtu yeyote aliye popote kwa wakati wowote.
NB: Yani kama namna ambayo binadamu tunamwelezea MUNGU.
_ It was never my intention kumfurahisha mtu wala kuonyesha umahili wangu wa kutumia lugha yeyote.
_ Watu wanatumia miaka kudecode maana ya maandishi yaliyofichwa kwenye codes ili tu kuelewa kilicho andikwa, ila wewe unaona kuchanganya lugha ni tatizo. Nikisema wewe ndio tatizo lenyewe nitakua nimekosea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazojms, I think you underestimate the stupidity of some people. Let him/them be._ It was never my intention kumfurahisha mtu wala kuonyesha umahili wangu wa kutumia lugha yeyote.
_ Watu wanatumia miaka kudecode maana ya maandishi yaliyofichwa kwenye codes ili tu kuelewa kilicho andikwa, ila wewe unaona kuchanganya lugha ni tatizo. Nikisema wewe ndio tatizo lenyewe nitakua nimekosea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hua sioni sababu ya mTanzania kuandika KISWAHILI akichanganya na kingereza..haisaidii na haina maana yoyote,na watu wa namna ya uandishi huu ndo wale walioendelea kuifanya Afrika kua masikini mpaka leo.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
AKILI ZA USIKU
Twende chitchat huku siyo size yako. Hili jukwaa linataka wanaojikita kwenye mada na sio wanaoona wivu wenzao wanajua lugha mbili.Hua sioni sababu ya mTanzania kuandika KISWAHILI akichanganya na kingereza..haisaidii na haina maana yoyote,na watu wa namna ya uandishi huu ndo wale walioendelea kuifanya Afrika kua masikini mpaka leo.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Twende chitchat huku siyo size yako. Hili jukwaa linataka wanaojikita kwenye mada na sio wanaoona wivu wenzao wanajua lugha mbili.
Acha kusema ukweli basiTwende chitchat huku siyo size yako. Hili jukwaa linataka wanaojikita kwenye mada na sio wanaoona wivu wenzao wanajua lugha mbili.
Sasa kama umeelewa kwanini usijadili mada?Nani kakwambia sijui lugha? inawezekana ninyi wengine humu ni watoto
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Sasa kama umeelewa kwanini usijadili mada?
Ni mjinga pekee anayekosoa kitu ambacho amekielewa. Halafu uache kuwa maskini?
Mala zote=Mara zote.Mala zote hua mnajifanya mnajua kila kitu na kumbe ni ujinga mtupu,uandishi wa kiswaenglish unaweza ukaufanya kwa uchache sana yamkini salam! Kisha nenda na lugha halisi maana sentensi zako hakika si wote watazielewa na kusudi lako halitatimia,unachukulia mitandao ya kijamii ni sehemu ya kujifurahisha zaidi ya kuelimishana. Lakini kwa sababu bado unaonekana una dharau na ndiyo sifa za waTanzania wengi kudharau au kutoa tusi ngoja nikuache lakini hii inafifisha thamani ya mtu mweusi
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Ukivishwa mwili wa mbuzi hutokuwa na namna nyingine tofauti na kuishi kama mbuzi wanavyoishi.Nimegundua mwili unatukwamisha sana wakati mwingine.
Asante, kazi nzuri.
Jina la jukwaa ni "jamii intelligence" haujaelewa bado linahusu watu gani? Sisi wana intelligentsia. Sasa google maana ya intelligentsia usipokuta "highly educated people/intellectuals". Chapa ndala tuu twende chitchat.Wanaelewa wote watakaopita hapa?kweni kuelewa mimi au wewe kunafanya wote waelewe?hata hivyo nabishana na mtu wa kijiweni utapoteza muda wangu bure
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Unasema kweli kwamba sijui kila kitu, ila ninachojua ni kwamba "Elimu haina mwisho so does stupidity"Mala zote hua mnajifanya mnajua kila kitu na kumbe ni ujinga mtupu,uandishi wa kiswaenglish unaweza ukaufanya kwa uchache sana yamkini salam! Kisha nenda na lugha halisi maana sentensi zako hakika si wote watazielewa na kusudi lako halitatimia,unachukulia mitandao ya kijamii ni sehemu ya kujifurahisha zaidi ya kuelimishana. Lakini kwa sababu bado unaonekana una dharau na ndiyo sifa za waTanzania wengi kudharau au kutoa tusi ngoja nikuache lakini hii inafifisha thamani ya mtu mweusi
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature