The CITIZEN: 70% ya makusanyo hulipia deni la taifa, 30% uendeshaji serikali na maendeleo

Hapa ndipo ninapowadharau sana Citizen. Let say Serikali inakusanya trilioni moja. Kwa hesabu hizo maana yake ni kwamba bilioni 700 zinatumika kulipa deni na bilioni 300 tu ndizo hutumika kugharamia serikali na miradi ya maendeleo. Is it real? Mishahara pekee ni zaidi ya bilioni 500. Shughuli nyingine za serikali ni zaidi ya bilioni 300. Bado kuna projects nyingi serikali inazifanya! Tuwe realistic bandugu
Mbona "hujamdharau" makamu wa rais aliposema serikali inatumia 900B kati ya ile 1TRN ya makusanyo kila mwezi kulipa madeni?
 
Hapa ndipo ninapowadharau sana Citizen. Let say Serikali inakusanya trilioni moja. Kwa hesabu hizo maana yake ni kwamba bilioni 700 zinatumika kulipa deni na bilioni 300 tu ndizo hutumika kugharamia serikali na miradi ya maendeleo. Is it real? Mishahara pekee ni zaidi ya bilioni 500. Shughuli nyingine za serikali ni zaidi
ya bilioni 300. Bado kuna projects nyingi serikali inazifanya! Tuwe realistic bandugu
Tueleze wewe matumizi yakoje.. maana in reality kuna mkanganyiko.... kumbuka bajeti ya mwaka
huu ni 29tr na makusanyo ya tra ni 15tr... hivo
kuna zaidi ya 14tr serikali itazipata kwa njia nyingine na sio kutoka tra.... acha kutetea kila kitu mkuu.... be at ur age na serikali ikichemsha ieleze kwa manufaa yetu wote au unalipwa mwenzetu?
 
Lakini hapa The Citizen wameshindwa kuwa critical thinkers. Kwa wastani, serikali inakusanya less than 1.2 Trillion... but let it be 1.2 Trillion. 70% ya 1.2 Trillion ni 840 Billion! Less 840 Billion from 1.2 Trillion, unabaki na 400 Billion. Hapo hapo tena wanadai mishahara ni 570 Billion... zaidi ya hiyo 400 Billion! Sasa wanachotuambia ni kwamba, kuna wafanyakazi hawalipwi na shughuli za kila siku za serikali zinasimama kv baada ya kulipa hiyo 70%, kitakachobaki sio tu hakitoshelezi hata mishahara bali hata matumizi mengine ya serikali yatasimama!

Nabaki na kauli ya Beno Ndulu ingawaje hawa watu wa serikalini nao wala hawaeleweki! Juzi juzi tu hapa imeripotiwa kwamba Mama Samia Suluhu amesema Billion 900 zinatumika kulipa madeni... figure ambayo inafanana na hiyo ya the Citizen!!!
Mkuu bajeti ya mwaka huu ni 29tr na makusanyo ya tra ni 15tr tu... hivo kuna zaidi ya 14tr serikali itazipata kwa njia nyingine na sio kutoka tra..
 
D
Unawapinga the citizen kuwa sio critical thinkers. At the same time unawapinga serikali hasa kauli ya mama Samia. Mwisho hujui unasimamia wapi. Nikushauri tu, tafuta gazeti, soma kwa makini utawaelewa. Au msaada mwingine, tumia bajeti 27trilioni igawe kwa 12 utajua pesa ipi inaongelewa na pia ujue ni madeni gani yanalipwa. Nikupe mfano, deni likilipwa la barabara inayofadhiliwa na world bank, hiyo pesa huhesabiwa serikali imelipa deni. Usiishie kuwaza deni linalolipwa kutoka 1.2trilioni za TRA. Hii ndo benchmark ya kauli ya Samia na The Citizen. Tunapokosa misaada na mikopo kugharimia miradi yetu hiyo ndo athari. Hatuwezi kulipa deni 30trilion na kugharimia maendeleo yetu. Tuna kazi ya kufanya, kama taifa.
Dah, hapa nikiri umenitoa tongotongo. Unajua nilikuwa najiuliza inawezekanaje serikali ilipe msdeni 900 b kwa mwezi? Kumbe sio kwamba pesa yote ya kulipa madeni inatoka kwenye makusanyo ya mwezi ya TRA ? Maanake pesa nyingine ya kulipa madeni inatoka vyanzo vingine mfano fedha za wafadhili!
Hata hivyo bado naona ukakasi! Can somebody with sane and sober state of mind from the government come foward and clarify these confusing statements please?
 
View attachment 422702 wadau kumekucha!
kwa mujibu wa gazeti la the citizen la leo,asilimia 70 ya makusanyo ya serikali ya mwezi hutumika kulipa deni la taifa,maana yake katika shilingi milioni moja ya makusanyo,laki saba inaenda kulipa deni la taifa,au katika bilioni moja,milioni 700 inaenda kulipa deni la taifa

au katika trilioni moja,bilioni 700 inaenda kulipa deni la taifa.

serikali ina shughuli nyingi,ikiwamo ulipaji wa mishahara ambayo kwa mwezi inatakiwa ilipe bilioni 570

bado serikali inatakiwa ilipe.posho za safari,mafuta ya magari,ununuzi wa karatasi,fenicha,wino wa kompyuta,magari mapya, ambayo,kwa hesabu hii,naona makusanyo yote ya serikali yanaishia kulipa madeni ya taifa na uendeshaji wa serikali.

swali linabaki,serikali ya awamu ya tano iliahidi ahadi zenye.thamani ya.karibu trilioni 30 wakati wa kampeni,je zinatekelezeka?

je ilani ya ccm.inatekelezeka?

ni wakati sasa kuambiana ukweli
Tuliza kipago,dawa ya deni ni kulipa,ndiyo kwanza tupo mwaka wa kwanza,na hilo deni Serikali inalolipa ni la ndani na nje.Cha pili hizo ni habari za gazetini tu,zinaweza kua zimeongezewa chumvi
 
Hakuna sababu ya kuendelea kuhangaika nao. Njia ni simple kabisa. Wathibitishe tu madai yao
Maneno hayo ameyasema Makamu wa Rais. Tunapolipa madeni unadhani hatutengenezi madeni mapya?
Kwanza kama kweli tunalipa madeni manake tunatengeneza goodwill na hivyo tutakopesheka. CCM imetuaminisha TUTEGEMEE WAHISANI. Kwa hiyo kulipa madeni ni uungwana na tunahitaji kuipongeza serikali.
Nikuulize, budget ya Serikali ni shilingi ngapi kwa mwezi na makusanyo ni kasi gani kwa mwezi?
 
Tuliza kipago,dawa ya deni ni kulipa,ndiyo kwanza tupo mwaka wa kwanza,na hilo deni Serikali inalolipa ni la ndani na nje.Cha pili hizo ni habari za gazetini tu,zinaweza kua zimeongezewa chumvi
makamu.wa rais pia alisema kila mwezi tunalipa bilioni 900
 
makamu.wa rais pia alisema kila mwezi tunalipa bilioni 900
Ingia kwenye mahesabu ili kupata takwimu sahihi kutoka chanzo cha kuaminika,haiwezekani aseme billion 900 alafu gazeti liseme billion 700 tafuta taarifa sahihi,vinginevyo huu utakua udaku tu.
 
Lakini hapa The Citizen wameshindwa kuwa critical thinkers. Kwa wastani, serikali inakusanya less than 1.2 Trillion... but let it be 1.2 Trillion. 70% ya 1.2 Trillion ni 840 Billion! Less 840 Billion from 1.2 Trillion, unabaki na 400 Billion. Hapo hapo tena wanadai mishahara ni 570 Billion... zaidi ya hiyo 400 Billion! Sasa wanachotuambia ni kwamba, kuna wafanyakazi hawalipwi na shughuli za kila siku za serikali zinasimama kv baada ya kulipa hiyo 70%, kitakachobaki sio tu hakitoshelezi hata mishahara bali hata matumizi mengine ya serikali yatasimama!

Nabaki na kauli ya Beno Ndulu ingawaje hawa watu wa serikalini nao wala hawaeleweki! Juzi juzi tu hapa imeripotiwa kwamba Mama Samia Suluhu amesema Billion 900 zinatumika kulipa madeni... figure ambayo inafanana na hiyo ya the Citizen!!!

Mapato ya Serikali siyo makusanyo ya TRA tu, kumbuka kuna uuzaji wa Treasury bonds, kuna mikopo ya ndani na nje, kuna Donor funds, kuna financial aids etc.

Kwa hiyo bado tunakopa huku tunalipa deni.

Lizaboni rudi shule ukajifunze.
 
Ingia kwenye mahesabu ili kupata takwimu sahihi kutoka chanzo cha kuaminika,haiwezekani aseme billion 900 alafu gazeti liseme billion 700 tafuta taarifa sahihi,vinginevyo huu utakua udaku tu.
wewe huna hata cheo cha ubalozi wa nyumba kumi,una uthubutu gani kumbishia makamu wa rais?
 
View attachment 422702 wadau kumekucha!
kwa mujibu wa gazeti la the citizen la leo,asilimia 70 ya makusanyo ya serikali ya mwezi hutumika kulipa deni la taifa,maana yake katika shilingi milioni moja ya makusanyo,laki saba inaenda kulipa deni la taifa,au katika bilioni moja,milioni 700 inaenda kulipa deni la taifa

au katika trilioni moja,bilioni 700 inaenda kulipa deni la taifa.

serikali ina shughuli nyingi,ikiwamo ulipaji wa mishahara ambayo kwa mwezi inatakiwa ilipe bilioni 570

bado serikali inatakiwa ilipe.posho za safari,mafuta ya magari,ununuzi wa karatasi,fenicha,wino wa kompyuta,magari mapya, ambayo,kwa hesabu hii,naona makusanyo yote ya serikali yanaishia kulipa madeni ya taifa na uendeshaji wa serikali.

swali linabaki,serikali ya awamu ya tano iliahidi ahadi zenye.thamani ya.karibu trilioni 30 wakati wa kampeni,je zinatekelezeka?

je ilani ya ccm.inatekelezeka?

ni wakati sasa kuambiana ukweli

Correction: Computer hazitumii wino.
 
Mapato ya Serikali siyo makusanyo ya TRA tu, kumbuka kuna uuzaji wa Treasury bonds, kuna mikopo ya ndani na nje, kuna Donor funds, kuna financial aids etc.

Kwa hiyo bado tunakopa huku tunalipa deni.

Lizaboni rudi shule ukajifunze.
TRA wanajumuisha zote ndipo wanatangaza
 
Acha kutumia kutype hakuna raisi kama mkaba aliye jitaidi kulipa madeni , kikwete ndie alieongeza mafeni japo sio baya , kukopa na kulipa sio jambo baya marekani ndio anaongoza kwa madeni ya matrioi nyie vp au unazani anae kopa ndio maskini tofautisha ww kukopa na nchi kukopa
Soma upya uelewe. Nimesema wote wanakopa na no kawaida. Tofauti ni matumizi tu. Unakopa upige ruti au ujenge reli?
 
Mapato ya Serikali siyo makusanyo ya TRA tu, kumbuka kuna uuzaji wa Treasury bonds, kuna mikopo ya ndani na nje, kuna Donor funds, kuna financial aids etc.

Kwa hiyo bado tunakopa huku tunalipa deni.

Lizaboni rudi shule ukajifunze.
Kwenye bajeti iliyopita, Mapato yasiyo ya kodi yalikadiriwa yatakuwa 2.5 Trillion!!! Na hata kama tunakopa na kulipa, still serikali hawawezi kutumia 900 Billion kulipia madeni... no way manake wakati deni linaweza kusubiri kuna matumizi mengine ya serikali hayawezi kusubiri hata kwa siku moja! Sasa ikiwa ukishalipa madeni tu pesa inayobaki haitoshi hata kulipa mishahara; ni mapato yapi yasiyo ya kodi yatakayoweza kwanza, ku-cover salary and wage gap labla hujageukia kwenye matumizi mengine?! By the way, hivi Samia na Gavana wa Benki Kuu, nani anaweza kuwa na takwimu sahihi juu ya ulipaji wa madeni ya serikali?
 
Back
Top Bottom