The chief financial officer of Chinese tech giant Huawei has been arrested in Canada. Meng Wanzhou, also known as Sabrina Meng, faces extradition to t

Wachina wana behave kitoto sana, wamemkamata afisa Ubarozi wa zamani wa Canada wa China aliyekuwa Beijing kwa mambo yake Binafsi.

Hii ni uthibitisho kwamba hawa watu hawana heshima kabisa na utawala wa Sheria, China wanapaswa kushirikiana na vyombo vya sheria vya Canada na Marekani kumsaidia huyo Sabrina badala ya huu upuuzi wanaofanya.

Trump Mwenyewe akiwa anahojiwa na shirika la habari la Reuters amesema kama mambo ya Sabrina yatajitokeza kwenye majadiliano ya Kibiashara kati ya China na Marekani yuko Tayari kuingilia kati kwa kuongea na vyombo vya sheria vya Marekani.

Bahati nzuri Sabrina kapewa dhamana, ataendelea kukaa kwenye Jumba lake la kifahari huko Vancouver huku shauri lake lililo Mahakamani hapo Canada juu ya hitaji la kumpeleka Marekani akakabiliane na mashitaka yake ya Kudanganya Mabank ya Uingereza likiendelea.

I hope she will be able to work from home.
 
Back
Top Bottom