THE CHAIN: Mkakati wa kisasa wa CHADEMA ambao wameubuni

CCM wao bado wako busy na mikakati ya wizi wa kura na kudhibiti wapinzani kutumia vyombo vya dola (POLICCM na UWT). Ila wanasahau kuwa huo mikakati una mwisho wake. Umefail Zambia, Malawi, Sudan.... Mikakati ya desidgn hiyo ina mwisho wake.
Kuwa na uhakika kabisa Rais wa Tanzania 2025-2030 atatoka CCM.
 
Sijawahi kuamini chama chochote hapa nchini Tanzania.....upigaji Ni mwingi kila kona
 
Sio Nani yupo ya CHADEMA hiki chama kina maginius wengi Sana ukikutana na vijana kumi wa chuo kikuu 8 wote CHADEMA pengine mmoja au wawili ndio ccm kwahiyo hiki chama ni timaini la watu wenye akili kubwa Sana na wenye njaa na kiu ya maendeleo ya taifa lao.
 
CCM wao bado wako busy na mikakati ya wizi wa kura na kudhibiti wapinzani kutumia vyombo vya dola (POLICCM na UWT). Ila wanasahau kuwa huo mikakati una mwisho wake. Umefail Zambia, Malawi, Sudan.... Mikakati ya desidgn hiyo ina mwisho wake.
Funga wapinzani Ili washinde 2025
 
Swala sio ubunifu wa mara oh join the chain issue ni kushinda chaguzi hizo zingine porojo tu

CCM hatuendekezi porojo ni ushindi tu kwenye chaguzi
 
Chadema ni Chama ambacho kinaenda na wakati. Ule ubunifu wa Chadema kuja na Kadi za kielectronic Kama Diamond card, Silver card,Gold card na Platinum ni mkakati ambao umefanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Chadema Digital ni mkakati mwingine ambao umefanikiwa Sana, Chadema ndo chama Cha siasa pekee kilichosajiri wanachama wake wengi kwa Njia ya kidigitali, naona na CCM juzi walizindua CCM digital Ila imeferi vibaya Sana.

Sasa Chadema wanakuja na THE CHAIN, na makamu mwenyekiti wake Tundu Lissu, ataieleza kwa undani hii THE CHAIN,, ni mkakati kabambe ambao najua utafanikiwa.

CCM endeleeni kunifunza kutoka kwa Chadema.
View attachment 2128755View attachment 2128757
Ww muongo sana ccm ndio chama cha mwanzo kuja na mfumo wa kidigital kisha kaz iko vzr chadema mashine tu kanunua alyekosa ubunge cdm ina njaaa kali hlf uyo mtt chini mkali kisha anakuwa cdm atakuwa mchawi
 
Back
Top Bottom