The Boss, Sorry for your loss...

Mkuu The Boss pole sana kwa msiba wa Msure, bahati mbaya sijaona info za namna gani tunaweza kujumuika au kukupata kwa ajili ya kufarijiana.

Tunamwomba Mungu awafariji na kuwapa nguvu katika kipindi hiki.

Kama kuna yeyote mwenye contacts zake tutashukuru kuzipata.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana The Boss,i know it is difficult to endure the moment but you have too.pole sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru wote kwa kunipa pole
tumezika salama...
Asanteni sana kwa kujali....

Mungu atawazidishia na nyinyi....
Shukrani....na samahani kwa kuchelewa ku reply...
i was a bit a busy....asanteni sana....i am so humbled...
 
Welcome back n happy 2013.
 
Pole sana mkubwa
Na karibu jamvini tena!

Nawashukuru wote kwa kunipa pole
tumezika salama...
Asanteni sana kwa kujali....

Mungu atawazidishia na nyinyi....
Shukrani....na samahani kwa kuchelewa ku reply...
i was a bit a busy....asanteni sana....i am so humbled...
 
Poleni sana, na Mungu awafariji katika kipindi hiki.

" Do not look for me amongst the dead but in the lives of the people who loved and cherished me, amongst them I continue to live..."
 
Nawashukuru wote kwa kunipa pole
tumezika salama...
Asanteni sana kwa kujali....

Mungu atawazidishia na nyinyi....
Shukrani....na samahani kwa kuchelewa ku reply...
i was a bit a busy....asanteni sana....i am so humbled...

poleni sana my Dear.
 
Welcome back The Boss, niliguswa sana na msiba ulioupata, na you were missed mnooo. I trust God is taking care of you - has made a comfort zone for you. Once again pole sana, and stay blessed.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom