Witness naanzaje kukusahau mpenzi?Tumetoka mbali zaidi ya mbali,tumepiga umbea na kusaidiana mambo kadha wa kadha.Heee usinisahau shoga angu tumetoka mbali hivyoo..[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] nakupendaga mwaya shoga angu wa mie..
Love you nifah...
We acha tu shoga angu imebidi nivamie kwenye comment yako..nisamehe[emoji23] [emoji23] [emoji23] wit..umenifanya nicheke sana looh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tumejuana hapa jf tukamianiana,tukapendana kwa kweli!!Duuuh mnavyopendanaa hadi nawaonea wivu maana mimi sijawahi kuwa na rafiki wa kunipenda hivi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
usijali dear...kawaida tu!We acha tu shoga angu imebidi nivamie kwenye comment yako..nisamehe
BTW miss yo..
Hongereni kwa kweli[emoji8] [emoji8][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tumejuana hapa jf tukamianiana,tukapendana kwa kweli!!
ktk maisha popote waweza mpata mtu sahihi cha msingi ni kuangalia yupi mnaendana
halafu mm humu siwezagu kugombana ujue na nifah nlitokea kumuamini basi ikawa marafiki sasa na umbea pia...!!
asante my dear!Hongereni kwa kweli[emoji8] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja namimi nianze kuandika point labda naweza kukumbukwa.Nitajiunga kwa ID nyingne na kwa tabia nyingne ila tabia zangu zitaendelea kwenye hii ID tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hizi Ni salamu zangu kwako
Ni Mimi kifaranga Mtoto wa kuku mjukuu wa babu jogoo
Nakusalimia[emoji215]
Hata mi simo,lakini nimo JFDadek, mi simo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kiukweli kabisa kutoka moyoni naomba nikushukuru kwa namna ya kipekee.Kwenye issue yoyote inayohusu ubuyu hata kama hayupo basi lazima nimwite Nifah
My sista worry out,tuko pamoja sana JF ni jumba linalokutanisha familia kuubwa sana.Kiukweli kabisa kutoka moyoni naomba nikushukuru kwa namna ya kipekee.
Wewe ni loyal fan wangu,long time.
Asante kwa kunikubali na kuendelea kuniamini katika suala nyeti la ubuyu [emoji4].
Am really humbled [emoji120]
Akufanyie wepesi nawe pia na familia yako In Shaa Allah.My sista worry out,tuko pamoja sana JF ni jumba linalokutanisha familia kuubwa sana.
Allah akufanyie wepes 2017
Amen! Shukrani..Mungu akubariki
Nasikia Mkuu Msaga Sumu mtoto wenu wa kipekeeAmen! Shukrani..
Sijaelewa..Nasikia Mkuu Msaga Sumu mtoto wenu wa kipekee
m nakuita THE GREAT. We n mtaalam unajua braza