The Bold: Shukrani Wakuu

Mkuu hongera sana na keep it up. Uko talented sana katika uandishi.
Naomba ukipata muda upitie kwenye jukwaa la intelligence utoe maneno mawili matatu kuhusu HISTORIA YENYE UKAKASI KUHUSU UANZISHWAJI WA TAIFA LA ISRAEL
 
Nashukuru Mkuu kwa pongezi! Nitapita kwenye huo uzi pia..
 
Great words....kupitia ninyi najifunza mengi
 
Leo sikua na mudi na jf Ila nifah ndo amenifanya niwe active na the bold am happy very happy mpk mchozi wantokaa
Jamani gen unanifanya nami nitokwe na chozi sasa.
Nimekufanyiaga wema gani hadi nistahili yote haya kutoka kwako?
Nakupenda gen,sana. [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
thank u too for being there for her...

hujui tu kiasi gani nampendaga nifah coz I always count on her..
hapa jf wadada wawili nifah na heaven...nawapenda mnooo!

nawaombea sana sana mufike salama...!!
Wewe wajua ni kiasi gani nakupenda zaidi gen.
Tumekuwa pamoja, tumefanya mengi.
Undugu wetu udumu,I'll always be here/there for you sweetheart.
You deserve my all [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
kitendo cha kukaa ni mambo yangu ya ndani bila kuspill beans hapa nje kina maana kubwa sana kwangu mm hujui tu

mtu anaenitunzia siri yangu namheshimu sana..
u know some of my things but hujawahi ht kumwaga mboga tumeshuhudia humu watu wakifuchuliana mambo yao hadharani

hilo kwangu ni kubwa sana more than u think it is...
Jamani gen unanifanya nami nitokwe na chozi sasa.
Nimekufanyiaga wema gani hadi nistahili yote haya kutoka kwako?
Nakupenda gen,sana. [emoji8] [emoji8] [emoji8]
tulianza wote team kiba[emoji23] [emoji23] [emoji23]enzi hizooo...mpk sasa sina team nimekua mshabiki tuu!!
nakupenda tu mwenyewe wajua !!

thank a lot love [emoji8]
sina cha kuongeza ntakua muongo!
Wewe wajua ni kiasi gani nakupenda zaidi gen.
Tumekuwa pamoja, tumefanya mengi.
Undugu wetu udumu,I'll always be here/there for you sweetheart.
You deserve my all [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Wewe wajua ni kiasi gani nakupenda zaidi gen.
Tumekuwa pamoja, tumefanya mengi.
Undugu wetu udumu,I'll always be here/there for you sweetheart.
You deserve my all [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Heee usinisahau shoga angu tumetoka mbali hivyoo..[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] nakupendaga mwaya shoga angu wa mie..

Love you nifah...
 
Asante gen,am giving you my word...
Nitakufa na yale yote tuambizanayo mimi na wewe.
Hutokaa usikie kokote.[emoji123] [emoji135] [emoji7] [emoji8]
 
Duuuh mnavyopendanaa hadi nawaonea wivu maana mimi sijawahi kuwa na rafiki wa kunipenda hivi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Asante gen,am giving you my word...
Nitakufa na yale yote tuambizanayo mimi na wewe.
Hutokaa usikie kokote.[emoji123] [emoji135] [emoji7] [emoji8]
ameen...na hiyo ndo maana ya urafiki aiseehhh!!

naheshimu sana siri ya mtu...![emoji120] thanks a lot girl..[emoji8]
much respect!
Asante gen,am giving you my word...
Nitakufa na yale yote tuambizanayo mimi na wewe.
Hutokaa usikie kokote.[emoji123] [emoji135] [emoji7] [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…