The Bold: Shukrani Wakuu

Kila nikiingia jukwaa la jamii intelligence kwanza naanza kutafuta post zako najua mambo mengi sasa kupitia wewe congra congra!!!!
 
The Bold mkuu pokea nyingi pongezi kwa michango wako hapa JF. Nakutakia kheri na fanaka mkuu katika kutumia karama uliyojaliwa na Mungu.
 
ingawa hujanitaja lakn umekua n member ambae unatupaga extraodinary story especially kwa GT.tuombeane tuvuke salamaa ndgu.nazipenda story zako..Mola atubarik wte tufike 2017
 
Brother umenisahau,si tulikubaliana tutafanya Movie ya ile story kule hollwood?nikajua mi ni mshirika mkuu niko kwa akili yako [emoji3] [emoji2]
 
Ha haa msiwafanyie hivo bana

hapana dada yangu hatuwafanyii hivyo,sisi sote ndugu....isipokua tu kama sio muongeaji na umekutana na mtu sehemu yeyote ile anakuongelesha na wewe umebaki unasikiliza tu hahaa, wengine mpaka wanasinzia unacheza nini!!!😀
 
hapana dada yangu hatuwafanyii hivyo,sisi sote ndugu....isipokua tu kama sio muongeaji na umekutana na mtu sehemu yeyote ile anakuongelesha na wewe umebaki unasikiliza tu hahaa, wengine mpaka wanasinzia unacheza nini!!!😀
Mpaka unatamani kumnyamazisha kweli inaboa lakini lol
 
Anyways ....labda mkuu The bold utusaidie wasifu wako kwa ufupi sana ili kupitia wasifu wako wale wanaotamani kupita njia zako wajue hatua wanazopaswa kuchukua. Just gusa maeneo unayoamini yanaweza kuwapa changamoto wengine.
Sawa Mkuu! Nitajitahidi nifanye hivyo siku moja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…