The Bold: Shukrani Wakuu

Iam humbled The bold ,napokea kwa unyenyekevu mkubwa pongezi zako,sio kwamba ninazistahili sana,nazipokea kwa sbb yeye aliyenipa kile unachokiona kwangu,alinipa bure kwa ajili ya kutoa bure.

Tumuombe yeye,atupe hakima ya kutumia vile alivyotupa kwa ajili ya wengine.Japo sidhani kama ninastahili
 
Asiwe muongeaji sanaaa,akiwa hivyo huwa sifurahii.Nina bahati ya ninaokutana nao,kufahamu kuwa mimi si muongeaji na wao huongea kwa nukta na ukuta
Ha haa ukikaa namie ntakuongelesha mpaka unifukuze
 
Asiwe muongeaji sanaaa,akiwa hivyo huwa sifurahii.Nina bahati ya ninaokutana nao,kufahamu kuwa mimi si muongeaji na wao huongea kwa nukta na ukuta

Barafu...yani hata mimi huwa naboreka sana kukutana na mijitu inaongea ka chiriku,yani haichoki kuongea mpaka mimate sometimes inamtoka...
 


Mkuu The bold ...shukraan saana

nafurahi i was one of the first people kukupa moyo ..
ukweli ni kuwa 'the art of storytelling ni sanaa kubwa saana'
na wewe una kipaji cha aina yake....
ukikiendeleza utafika mbaali sana...

Watu wengi siku hizi hawapendi kusoma maandishi meengi sana
but unaona hapa JF watu wengi wanavyopenda kusoma Threads zako bila kujali wingi wa maneno
na wengine kiu haiwaishi still....

hiko ni kipaji....na kitakufikisha mbali sana....
hongera na endelea na naamini kitakuletea makubwa zaidi...
i am humbled kwa kuwa noted ....
 
Shukrani sana Mkuu kwa ushauri wako adhimu siku zote na kunitia moyo.. Umenijenga sana

I really appreciate!! Salute Mkuu..
 
Alaa!, hivi kumbe huwa unatoaga thread the bold? Mbona sizionagi na kilasiku Niko jamii intelligence lakini sioni thread zako chief!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…