Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
- Thread starter
- #61
Nawaonea wivuuuu .. Sijui ni kweli.
Kila la kheri [HASHTAG]#the[/HASHTAG] bold & [HASHTAG]#nifah[/HASHTAG]
Shukrani Super woman 2
Nawaonea wivuuuu .. Sijui ni kweli.
Kila la kheri [HASHTAG]#the[/HASHTAG] bold & [HASHTAG]#nifah[/HASHTAG]
Shukrani sana dada'ngu wa dhahabu!

Asante sana mkuuHongereni sana wapendwa! Inshalah mkaribie katika chama hiki cha ndoa! Mbarikiwe sana![]()
Mpate watoto wengi zaidi .maana shule ni bureeeee
Mlete mwenzako kanisani na wewe niwabariki na kuwafungisha ndoa sawa, sio kufichaficha hapa,Hongereni sana Mungu awasaidie mfikie malengo yenu
Mpate watoto wengi zaidi .maana shule ni bureeeee
kwahiyo tufyatue tu watoto au sio??
Awh niceKila la kheri The bold na nifah
, mkuu umepotea, usinifanyie hivyo.
sawa baba paroko nitafanya hivyoMlete mwenzako kanisani na wewe niwabariki na kuwafungisha ndoa sawa, sio kufichaficha hapa,
Yeah.. Fyatueni tuuu![]()
kwahiyo tufyatue tu watoto au sio??
Ila wewe nae unanifanya hadi naona aibu! Ndio nini kusema mambo ya kuzima taa?![]()