The Bold Bulletins

 
Mzee wa alosto,tangu utuache njiani na hadithi zako nilipoteza imani nawewe mazima
 
Unataka uwe na imani na mimi ili iweje mkuu?? Kuwa na imani ma Mungu wako tu.. hilo ndilo wapaswa kufanya.

Imeandikwa,

"amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.."

Wekeza imani yako kwa Mungu wako.
Mzee wa alosto,tangu utuache njiani na hadithi zako nilipoteza imani nawewe mazima
 
Huku kwetu ndio tunajiandaa na kutengenezewa kiwanda cha nyuklia kwa uzalishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…