The Bold Bulletins

Mkuu tangu ile kashfa ya wewe kuhongwa pesa na ONTARIO ili uipaishe forex nimekuwa sina imani na wewe.
Unatakiwa kuwa na imani na Mungu wako pekee. Sihitaji uwe na imani na mimi...
Nahitaji usome nilichoandika basi!! Na mpaka umecomment hapa maana yake umesoma na roho yangu imeridhika...

Karibu.
 
hahaaa Vyuma vimekaza naona mvuvi karudi tena kuwavua samaki wake ..na kwa mtego wa hizi nyavu ..lazima tuwavue dadeq
 
Ze Buroka Na Opochuniti!!!
 

Hizi ungeenda kulalamika huko wasap sio hapa na huko grup hukulazimishwa kuingia ulitoa ela mwenyewe ukalipa kwahyo angalia maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…