The bodigad from beijing.Hapa ni kazi tu

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
902
Reaction score
910
1448817955572.jpg
 
"Thread" haijitoshelezi. Mleta mada tafadhali funguka. Tumjuavyo Magufuli hawezi fanya kosa hilo la kumleta mchina awe bodyguard wake. China ni mshirika wa profesa mkwere aliyetufikisha kwenye majanga haya ambayo JPM anapambana kuyaweka sawa.
 
Mleta mada anamaanisha Rais Dr JPM ana mlinzi wa kike....kumbukeni mkutano wa Beijing kuhusu haki sawa kwa wanawake.
 
"Thread" haijitoshelezi. Mleta mada tafadhali funguka. Tumjuavyo Magufuli hawezi fanya kosa hilo la kumleta mchina awe bodyguard wake. China ni mshirika wa profesa mkwere aliyetufikisha kwenye majanga haya ambayo JPM anapambana kuyaweka sawa.

Kweli humu kuna wajukuu!
 
Back
Top Bottom