“The birds will be flying high tomorrow”

“The birds will be flying high tomorrow”

Baba aliniambia nisome, nikaone kuwinda tetere ni bora zaidi. Ona sasa leo hii nimeishia kuambulia JK tu.
Binafsi ningesema kuwa ni bora kabisa ulitumia muda wako vizuri "kuwinda tetere". Siyo kila aina ya elimu ina manufaa kwa mhusika.
Unaweza kujihisi ummeelimika kumbe humna kitu kichwani.
Natumaini utanielewa nilicho kilenga, hata kama sikukielezea vizuri kutokana na ufinyu wa elimu husika.
 
Britanicca ni kichwa ingine yupo smart na ni informer mzuri mwenye classified information siyo zile za kuokoteza okoteza
habari hizo zipo wapi sasa hapa kwenye hii mada. Tusaidie kuziona hizo taarifa.
 
Steganography-Projects.png
 
Sasa watu wakajifunze Encryption na decoding; muda huo utapatikana wapi kama siyo kupotezeana malengo tu. And for what outcome?
Haha 😆

-"The incumbent president is ineligible for re-election.Though is constitutionally permitted to seek another term. But is barred from pursuing a further term in office."
So her tenure is limited, and they are not eligible for an additional term.” CCM INNER CORE understands me well


Britanicca
 
Back
Top Bottom