“The birds will be flying high tomorrow”

Hiki ni kiingereza kilicho changanywa ili kuwe na ujumbe fiche ama code.
Sasa code za lugha mama yetu zina tupa changamoto sembuse lugha iliyo kuja meli!!
 
Caesar cipher seems to be used more than
Vigenère cipher


Continue Steganographying between RM and JK

Britanicca
wewe utakuwa ndio Slow slow bila shaka,haya tuendelee 🙇🏽‍♀️
 
,
haya
"Atalazimika kugombea tena urais, lakini muda wake afisini utakuwa mdogo kwa muda,

Ila utawala wake utakuwa mfupi, utakatishwa, na pale uhuru bendera ita pepea nusu mlingoti ili kumuenzi marehemu apumzike Kwa amani.

Narudia Kwa maneno yaliyo kolezwa narudia uchaguzi wake utarudiwa ila utarudiwa, ila utawala wake hautadumu au utakuwa wa kipindi kifupi tu.
 
Ingalau na sisi wa huku Tandale kwa Mtogole tumeambulia kidogo.
 
🖖 Mkuu
 
Ha ha haaa! Umenikumbusha 'spiki inglishi' ya shule ya msingi. Darasa linakuwa kimya...! hii dunia hii....nikona leo hii watu walipa mamilioni mtoto akafunzwe A- apple...!! Mtihani sana. Twende kazi!
B for ball..wakati class zetu wakisema speak english ni kimya wote hadi break😃😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…