The biggest mistake we do in love

The biggest mistake we do in love

Bila kulinganisha utajuaje kama uliyenaye ni bora/si bora? Kubali/kataa binadamu tumeumbwa kulinganisha ili tujitabue. Ni mgonjwa wa akili pekee ndiyo alinganishi.
 
Bila kulinganisha utajuaje kama uliyenaye ni bora/si bora? Kubali/kataa binadamu tumeumbwa kulinganisha ili tujitabue. Ni mgonjwa wa akili pekee ndiyo alinganishi.

Cinq sur cinq
 
Wengine huwa hatuangalii nyuma twaxama moja kwa moja
 
Viwango muhimu kwenye penzi bhanaaa hilo halikwepeki hata siku moja.




Bila kulinganisha utajuaje kama uliyenaye ni bora/si bora? Kubali/kataa binadamu tumeumbwa kulinganisha ili tujitabue. Ni mgonjwa wa akili pekee ndiyo alinganishi.
 
Last edited by a moderator:
Habari za Jumapili JF Members.

Naamini hamjambo wote na wale wenye shida Mungu awapiganie mpone.

Back to the topic. Mahusiano ya mapenzi huanza kama mbegu inavyoota.

Huchipua kidogokidogo na mwisho huwa imara zaidi.

Lakini pamoja na kuchipua na kustawi hufikia kipindi yakaisha, mengine huishia katika ndoa na mengine uchumba.

Lakini kuisha kwake huleta maumivu, ni sawa na kusema mmea unang'olewa obvious lazima ukauke, usinyae n.k Lakini baadaye unaanza kuchipua tena.

Sasa kuna watu wanapoachana na wapenzi wao wanaumizwa sana, baada ya kuumizwa sana, sasa hawapendi tena wanafanya comparison with their ex( wanalinganisha na wapenzi waliopita).

This is the biggest mistake, you are no longer loving, you are comparing new lover with yo ex, that relationship will not work anymore.

Stop comparing your love with your ex please.

Just in case u see ua ex z better than the present lover, y did u let him/her get off you?

nice msg
 
Hiyo kuiepuka ni ngumu kivitendo, ila vibaya sana mwenzi wako akijua
 
true... n pipo need to get over this cos ni kitu cha mda ambacho husababishwa na uoga either kutokana na experience ya r.ship iliyopita weather it was good or bad... we shud learn kwamba :A S 109:kila mtu yupo tofauti..period!
 
Back
Top Bottom