hahahahh....ikitokea hivyo NI LISSU 2020 hakutakuwa na kitu kinachoitwa CHADEMA au UKAWA KATIKA NCHI HII...maana mwenye CHADEMA na wenye CHADEMA wanajulikana......MGOMBEA UKAWA WA MAISHA ANAJULIKANA NI EDDO na hivi T.B JOSHUA kamwambia agombee tu .....sasa jaribuni kumtibua ETI mlete LISSU kama hatawaelewa......YAANI UKIFIKIRIA UWEPO WA LOWASSA NA SUMAYE NDANI YA CHADEMA hauwezi amini kabsa uwepo wa hiki chama kikiwa IMARA 2020.....ni suala la MUDA tuNi wazi kulingana na mazoea ya Chama cha Mapinduzi, Rais Magufuli atasimamishwa kugombea 2020 nafasi hiyo tena.
Tujaribu kutabiri mpambano huo wa 2020 kama Wapinzani ndani ya Ukawa wakinsinamisha Lissu kama mgombea hali itakuwaje? Ikumbukwe kuwa Ukawa bado hawajampendekeza mtu yeyote kusimama hivyo bado sio dhambi kuwajadili watu tofauti na anayefit tunamshawishi asimame.
Kwa vile wasifu wa JPM tayari unajulikana basi tukiweka wa Lissu italeta raha.
Hii itakuwa vita kati ya HAPA KAZI TUU na HAKI NA UTU KWANZA
Sina shida kabisa na lowassa kuwa mgombea 2015 maana alifaa kwa wakati ule ila kwa wakati wa sasa chini ya utawala wa chuma wa magufuli inabidi upinzani uweke mgombea chuma ambaye ccm utamuogopa sana na hta akitishia maandamano tu ccm yenyewe wanahaha kma alivo odinga hapo ndipo sera nyingi za upinznai zitasikilizwa na kufanyiwa kazi ila kwa mwendo huu wa kujaza wanadiplomasia kma mbatia sijui lowassa mbowe na safari haitosaidia kupambana na utawala huu wa magufuli wa kidiktetaChadema na EL ndiyo kifo chao....walete mgombea mshindani ama waendelee kushiriki uchaguzi
Hivi unasomaga ilani za uchaguzi za vyama vya siasa kabla ya uchaguzi. Hayo yaliandikwa wapi kwenye ilani ya uchaguzi ya chadema 2015?? Tuache ushabiki wa kejeli na tujkite kwenye kujibu kwa hoja juu ya mada iliyopo mezaniMaana yake chadema wanatuambia 2020, watakuja na sera za
kurudisha posho zote kwa watumishi
Kurudisha wote waliotumbuliwa kwa ufisadi
Kufunga mahakama ya mafisadi
Kwa sera za kilofa namna hii nani atawachagua??
Katiba mpya lazima lakini na mgombea wa kupambana na Magufuli mwenye uwezo, nguvu, hoja, ujasiri na asiyeogopa kitu ni lazima pia.Hakuna wa kuiondoa CCM, hata wakiniweka mimi nigombee. Siri ya kuiondoa ni kuwa na tume huru ya uchaguzi.
We jidanganye tu.Mkuu lissu is a oerfect match kwa hali ya kisisasa ya sasa tunahitaji mtu radical kweli kweli type ya alfonce mawazo hivo nikubaliane na wwe lissu apewe ikiwezekana uenyekiti wa chama ili atusaidie kudai katiba mpya upya, tume huru, awe frontline kupinga udikteta na naamini anaweza maana ni mtu asiyeogopa kuthubutu na kwa yeyote atakayekuwa mgombea wa UKAWA hata kama hatokuwa lissu ila lisu anaweza saidi sana hasa kampeni za 2020 na hapo itasaidia kumpata rais wa kwanza wa upinzani kma uchaguzi utakuwa huru na haki.