~~~The Big L Pub - R Chuga~~~

Triple A

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
766
147
Hi jf, weekend yangu nipo hapa pub na mafrends zangu,nimekuta kuna kuku wa ukweli,je hapa arusha kuna sehem gani nyingine panakuku wa kienyeji wa kuchoma kama hapa big l?
 
mi niko zqangu mbeya bado tunapigania haki wewe unakula raha haya bana starehe njema..
 
nenda pale sakina bar mkuu! kuku wa ukweli wanapatikana pale,,,
 
Mi nipo zangu Mtekenyo bar napiga kitu cha Castle Lager kama sina akili njema.
 
Duh! Nilikuwa QX bar kijenge ya chini. Nyama ya mbuzi utadhan kwa mworomboo!
 
Back
Top Bottom